CUF iko wapi?

CUF ni Silence Fighters na subirini 2015 mziki wake mutakuja kuushuhudia, tofauti na kile Chama Cha Depe tupu na kuhamasisha Maandamano ambacho ni Toothless Bull Dog! Action always speaks louder than words!
 
MKuu umesomea Vietnam au Philipino hiki kiswahili chako ? No wonder wewe ni Mpemba wa kubisha na mwana KAFU
 
MKuu umesomea Vietnam au Philipino hiki kiswahili chako ? No wonder wewe ni Mpemba wa kubisha na mwana KAFU

Nambie ni neno gani limekupa tabu kulifahamu (kilugha ama kimsamiati) katika comment yangu ili nikufafanulie kwa kukuwekea mofimu moja baada ya nyengine na jinsi (mofimu/kiambishi) inavyofanya kazi. Mkuu usicheze na mimi hii Lugha ni yetu na naielewa: ninapoandika hua sibahatishi.
 
CUF ni Silence Fighters na subirini 2015 mziki wake mutakuja kuushuhudia, tofauti na kile Chama Cha Depe tupu na kuhamasisha Maandamano ambacho ni Toothless Bull Dog! Action always speaks louder than words!

Hamna kitu wewe,ALAFU i guess Wewe ni JULIUS MTATIRO.hama huko,ama unaneemeka na riziki
 
Nikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi CUF iko wapi?mbona upinzani ni CHADEMA tu bungeni?.Offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu Cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?Niwaulize wanachama wa Cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na Hamad Rashid na kina Doyo!
Mkuu, CUF ilishajifia kitambo sana....chezea ccm wewe? iko chezea ccm,iko kufa wewe
Njoo jumbani yetu cheze kuchikuchi hotahe huku nakula pilipili
 
Jamani mbona kama hamjui tamaduni zetu, wanandoa huwa wana tabia za kuwakilishana kwenye majukumu mbali mbali mf. Harusi, misiba etc.

CUF waliwakilishwa vema na CCM. Msishangae next time ikawa zamu ya CUF kuwakilisha CCM.
 
Ha ha ha ha ha! Mimba aliyotiwa na magamba siku zake ni kama zimetimia. Yuko leba huyo akijiandaa kupata mtoto wakati wowote (chama tarajiwa cha HR). Lakini bahati mbaya sana sidhani kama hicho kichanga kitaishi; achana na huyo "baba" anakulaga mpaka vitoto vyake vya kuzaa kama kitimoto. Kuongolea CUF muda huu ni kupoteza muda bure!
 
Ndio wanatolewa mochuari tayari kwa safari ya mwisho hapo Tarehe 13,march,2012....maziko yataongozwa na Jaji Agustino Shangwa.....Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P 'Chuki Ubinafsi na Fitna...a.k.a CUF'

Eti na wewe ulikuwa unajiita mwana CUF? wanafiki wanaumbuka taratibu..
 
The fact kwamba mnaikumbuka ina maana bado ipo..iko siku itaibuka..ila kwa sasa wamedorora, na kwenye siasa ni kawaida tu; kwani ungeamini NCCR ingekufa kihivyo..bado chadema 2015 wakati CCM itakuwa na mkatoliki ndio mwisho wa makelele yao..
 
Wewe unafikiri kwanini alikuwa anajiita mwana CUF na sasa anaikataa tena hadi wewe unamuita mnafiki?
eeeh! unafikiri kwanini?

Shibuda type hawadumu CUF lazima atimke, naamini alikuwa chadema alikuwa anajidai mwana CUF hana lolote..chama kitajengwa na wenye moyo period..hakitakufa kitarudi siku zijazo, kila jambo lina wakati wake..afadhali mamluki kama hamadi etc watimke tujenge chama
 
Serikali ya umoja wa kitaifa. CUF walidhani wanapigania haki sawa kwa wote kumbe Msslim Seif anavizia kuingia ikulu ya zenji ili apate mafao ya viongozi wastaafu. Mtatiro ni memba humu aje atoe tamko la kukizika chama rasmi
 
The fact kwamba mnaikumbuka ina maana bado ipo..iko siku itaibuka..ila kwa sasa wamedorora, na kwenye siasa ni kawaida tu; kwani ungeamini NCCR ingekufa kihivyo..bado chadema 2015 wakati CCM itakuwa na mkatoliki ndio mwisho wa makelele yao..

Mkuu, hapo kwenye bold....naomba usahau hiyo kitu! chadema ni chama makini na kina watu makini sana kuliko chama chochote
kwa sasa....achana na CDM mkuu! hii ni namba nyingine!
Hata hivyo nakumbuka mwaka 95 na 2000 wewe ulikuwa CUF damu kabisa....lakini ghafla mwaka 2005 ukawa mwana ccm' Je kulikoni na wewe?
 
The fact kwamba mnaikumbuka ina maana bado ipo..iko siku itaibuka..ila kwa sasa wamedorora, na kwenye siasa ni kawaida tu; kwani ungeamini NCCR ingekufa kihivyo..bado chadema 2015 wakati CCM itakuwa na mkatoliki ndio mwisho wa makelele yao..
Mawazo mgando. Hata agombee sisimizi kwa tiketi ya chadema atashinda, si ukatoliki wala nini
 
Mawazo mgando. Hata agombee sisimizi kwa tiketi ya chadema atashinda, si ukatoliki wala nini

Mkuu umenena. Hakika Chadema imekua kwa namna ya ajabu kabisa, beyond expctations. Naamini hata wazee na wasisi wa hiki chama (Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani) wakipumzika watapumzika kwa amani wakiwa na furaha tele kwa kuliachia taifa urithi wa uhakika. Mawazo yao na waliyoyapigania hata kwa ku-risk maisha yao hakika yanaonekana.

Si mchezo kwa mazingira yetu ya mfumo kandamizi na wa kifisadi kuanzisha chama kikaimarika na hata kuaminika na umma kiasi cha sisimizi kusimama na akashinda. Si mchezo - ukiona vyaelea vimeundwa - samahani kwa kutumia msemo wa kifedhuli wa magamba.
 
Back
Top Bottom