CUF hamasisheni ushiriki wa sensa

Bado hujajibu swali langu, kwa nini uiombe CUF tu au ndio chama pekee cha upinzani bungeni? Na kwa nini usiviombe na vyama visivyo na serikali pia?
labda kwa sababu CUF wapo jirani sana na viongozi wanaohamasisha kugomea sensa.!
 
Back
Top Bottom