CUF hamasisheni ushiriki wa sensa

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Natoa wito kwa chama cha wananchi, CUF kuhamasisha watu wote washiriki sensa ya watu na makazi. Ninakishangaa chama hiki kuibuka na kujibu hoja za Nape kwa Chadema bila hata kugusia zoezi ambalo baadhi ya viongozi wa jumuiya za kidini wanahamasisha waumini wao kutoshiriki. Kwa kuwa serikali imeshindwa kuhusisha mgomo huu na chadema, ni vyema CUF ikajitokeza hadharani kulaani viongozi wanaohamasisha mgomo wa sensa.

SENSA YA WATU KWA MAENDELEO YA TAIFA
 
naamini chama cha CUF kitaitikia wito wako, maana kisiwe tu kinajidai kuongelea matukio,hata jamii kinapaswa kuasa hasa viongozi wake lipumba,Jusa na Mtatiro.
 
lakini nilisikia hawa watu campeni zao za kisiasa huko zinakofanyikia, basi wakajitokeza kwenye hili, hata hiyo sehemu yao ya kupiga kampeni hawatapewa tena ule muda wa kusimama na kuongea mawili matatu.
 
Ndugu Mwalimu Mkuu,
Husika na mada yako hapo juu.

Sensa ni suala la kiserikali na lingepaswa kusemewa na kuhamasishwa na serikali; hii ndio tunayoilipa kufanya hivyo kwa maendeleo ya nchi. Sijawahi kusikia CCM, CDM, NCCR... wala chama chochote kuhamasisha, wala hatuwez kuvidai vyama vifanye hivyo. Ikiwa CCM wamefanya hivyo ni kwa sababu bado wamelalia mchago wa chama kimoja.


Sasa iweje, vyereje kuitaka CUF ihamasishe ushiriki wa sensa?
 
wewe huna akili kabisa unapotaka cuf watoe tamko la nini? chadema mbona hawakutoa tamko la kulaani mgomo wa madaktari? kafiri mkubwa weye!

Chadema wametoa matamko mengi tu (ndani na nje ya bunge) kuhusu kusitisha migomo ya madaktari, Na sula la sensa mbunge mmoja wa chadema alimuuliza swali waziri mkuu bungeni, Kafu wamechukua hatua gani
 
Ndugu Mwalimu Mkuu,
Husika na mada yako hapo juu.

Sensa ni suala la kiserikali na lingepaswa kusemewa na kuhamasishwa na serikali; hii ndio tunayoilipa kufanya hivyo kwa maendeleo ya nchi. Sijawahi kusikia CCM, CDM, NCCR... wala chama chochote kuhamasisha, wala hatuwez kuvidai vyama vifanye hivyo. Ikiwa CCM wamefanya hivyo ni kwa sababu bado wamelalia mchago wa chama kimoja.


Sasa iweje, vyereje kuitaka CUF ihamasishe ushiriki wa sensa?
Kama ndio hivyo hatuna haja ya kuwa na wabunge wa upinzani bungeni.na vyama visivyo na serikali vifutwe mpaka uchaguzi ujao
 
Kama ndio hivyo hatuna haja ya kuwa na wabunge wa upinzani bungeni.na vyama visivyo na serikali vifutwe mpaka uchaguzi ujao
Bado hujajibu swali langu, kwa nini uiombe CUF tu au ndio chama pekee cha upinzani bungeni? Na kwa nini usiviombe na vyama visivyo na serikali pia?
 
yote tisa mimi bado nasema sitahesabiwa kwakua bado sioni umuhimu wa kufanya hivyo.sensa kwa maendeleo sawa.maendeleo yapi wakati bajeti yenyewe ishapita?yako mengi yanayonifanya niseme sitohesabiwa kamwe.hivi inamaana nispohesabiwa mimi shughuli zangu za kimaendeleo hazitaenda?najiandaa sikuhiyo naenda za nairobi kwenye biz zangu.
 
Wadanganye! wakilaani msimamo huu no Kura tutapigia ADC!...........
naamini chama cha CUF kitaitikia wito wako, maana kisiwe tu kinajidai kuongelea matukio,hata jamii kinapaswa kuasa hasa viongozi wake lipumba,Jusa na Mtatiro.
 
Kwani CUF na fedha Chafu wapi na wapi? Lakini mimi nakuelewa CUF ikishabikia tu Sensa ponda atazui kura za HISANI kwa CUF.....
huyu jamaa nokora kabisa, sensa na cuf wapi na wapi? wanausika vipi na sensa? ms.nge weye.
 
Kwani CUF na fedha Chafu wapi na wapi? Lakini mimi nakuelewa CUF ikishabikia tu Sensa ponda atazui kura za HISANI kwa CUF...................................

Waislam acheni kulalamika hovyo, wanawake na watoto walilalamika sana wakasema wanaonewa wakaundiwa wizara yao.

"Wizara ya wanawake, jinsia na watoto" na nyie mkiendelea kulalamika tutawaunganisha kwenye hiyo Wizara na sasa itasomeka "Wizara ya Wanawake, waislam, jinsia na watoto"
 
Sawa kaka nimekuelewa, na ninakiri makosa kuwahusisha watu wote wa Kigoma. Lakini dhamira yangu ni kumuonesha huyu bwana anaejiita "MKIGOMA" Kuwa ili uheshimike sio lazima kutukana wengine kwani hata sie tulio kimya twaweza kujibu vilevile. Respest first thn mengineyo baadae. Sory kwa wote mliokwazika na ubaguzi huu.

sijatukana wala kumkwaza mtu ila nilikuwa namuonya aache siasa za majitaka, utahusisha aje cuf na sensa, zipo taasisi zilizopewa ruzuku kwa ajili ya kuhamasisha sensa, vyama vya siasa Tanzania si Cuf pekee.
 
Akizungumza katika futari ya pamoja akiwa katika mkoa wa KASKAZINI pemba, MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR na ambae ni KATIBU MKUU WA CUF maalim Seif sharif hamad amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la SENSA.

Source: www.mzalendo.net. Nimesahau ni gazeti gani hasa liliandika hii habari.

kama shida yenu ni kumsikia DUME LA MBEGU kutoa kauli basi tiyari ameshatoa kauli.
 
We kweli unatokea Kigoma. Tena umekulia Ujiji kwa wabembe. Yani huna hata chemb ya akili kichwani mwako, unatukana hovyo tu! Hivi unafikiri ni sifa kuandika wat u wrote? Yo disgusting and shame on your uncooth family..........

mkuu rekebisha spelling ni 'uncouth'
 
wewe huna akili kabisa unapotaka cuf watoe tamko la nini? chadema mbona hawakutoa tamko la kulaani mgomo wa madaktari? kafiri mkubwa weye!..........

CHADEMA walitoa tamko kupitia Katibu Mkuu wake. Ukafiri umetokea wapi?
 
JJB, kuna kipindi unaongea point, kuna kipindi unavuruga na unaonesha ni mbaguzi na kujihisi wewe ni superior kuliko wengine.

Kwani una uhakika gani kama mkigoma ni mwenyeji wa Kigoma? "....mkigoma wako watu watawashighulikia...." yalikuwa ni maneno ya J.K. wakati anawatishia walimu miaka ya juzi tu. Sasa kuanza kuwashambulia watu wa Kigoma, inaonesha ni jinsi gani ulivyo mbaguzi, ni sawa na mimi nianze kusema wewe ni wa kaskazin

mkuu huyu kweli ni wa KG, huleta mada za huko hasa kumchafua Zitto
 
Back
Top Bottom