Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Dada Asha
1. Kuna agenda na slogans.CHADEMA wana detailed plans au slogans na propaganda like literature?
2.Hata kama wanazo, kama watu hawazijui it is as good as hawana.Hapo ndipo point yangu ya publicity inapokuja. CHADEMA wana gazeti au redio? Wana programu gani kuwaelimisha wananchi nchi nzima kuhusu agenda zao? Sijasikia sana na ndiyo maana hata kama agenda zipo mtu kama Game theory anaweza kuwa justified ku doubt na kufikiri ni chama cha personalities, jingoism na Mremaism.