Ctrl + Z

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Kuna dada mmoja mtaalam wa mambo ya Tech,
Siku moja alikua anabofya bofya ktk keyboard yake huku akinywa soda, mara ikamwagikia juu ya Kboard, sasa badala ya kufuta, ye akabonyeza Ctr + Z (undo) akitegemea ku reverse action ya kumwagika kwa soda hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom