CRJE na ufisadi serikalini

Jengo kuwa na nyufa inaweza isiwe kosa la contractor moja kwa moja, inawezekana kosa likawa la consultant aliyedesign jengo
 
Jengo kuwa na nyufa inaweza isiwe kosa la contractor moja kwa moja, inawezekana kosa likawa la consultant aliyedesign jengo

Good note!!

Lakini pia yawezekana sio sabaabu ya wote na maana contractor na consultant, ni vyema kwanza kuanalyse ni cracks za aina gani

Is it structure cracks? or shrinkage cracks?

Hapo sasa utajua ni muhusika yupi? au ni mazingira!! kwa mfano kama hata ni eng. mzuri kwenye area ambayo ina high evaporation una njia ndogo sana ya kuzuia cracks na hapo utamtegemea contactor sana kwenye construction method yake.
 
mhhh

issue hii haijakaa sawa japo nimetonywa hii kampuni inatoa hisa kwa mkulu mwenyewe sasa sina hakika juu ya haya
najua humu kuna ma injinia wengi tuu wanaweza kutufungua macho

Napenda nikotonye sasa kwa college ambayo niliyohusika niamshe hata usiku nitakwambia hakuna failure!! Jamani watanzania kuna kitu kinaitwa contract liability period ni muda ambao umewekwa kwa ajili ya kuangalia perfomance ya project na vitu kama unstructure cracks vipo tu nasababu zange ni nyingi na zinaweza kua corrected!!
 
Mkuu Fighter,

Nakubaliana na hoja zako.Mkuu wangu kampuni za wazawa ni hovyo kabisa hawajali wala hawaheshimu kazi hasa wakisha lamba advance.Kuna hotel imejengwa na wachina opposite ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha waandisi walikuwa wanalala sehemu ya kazi sasa sijui ni kubana matumizi au kusimamia kazi masaa mengi sijui ila wakati mwingine nikipita muda wa saa 2 usiku unashangaa kazi zinaendelea kama kawaida.

Mkuu ni kweli sisi wazawa inabidi tuchange kabisa la sivyo kazi ipo hata kwa makampuni ya kiigeni ambayo sio wachina kazi ipo!

Awa jamaa overhead yao iko chini na ndio maana utawakuta wanaishi site,(simple life) alafu pia ukiwapa hawa at least unagarantee project yako kuisha kwani wanapambana nakutokaa site muda mrefu kupunguza overhead(which is good trick), kama unawasupervise hao utapambana na quality tu na sio speed. kwa mzawa hakuna quarantee ya vyote kumalizika kazi on time na quality pia.

Iyo project wasema naijua na niyamtu binafisi unafikiri kwanini kaopt wachina hawahawa tunaowasema humu anasababu nzuri tu ,,have project close na new arsh hotel near river naimanage and it goes well both speed and quality
 
Sasa makampuni ya wazalendo yatafanya nini mbele ya pesa za waChina?

"Shida sio wachina wana haki kufanya kazi nchinikutokana na jinsi seikali yetu ilivyo wakaribisha, hawana makosa waetusaidia sana katika miundombinu na misaada yakifedha na kitechnology kuingana na uwezo wetu, ila shida inakuja sisi hatupendani na sheria tunazitunga ili zitumalize sisi kwa sisi,

kitendo cha CRJE cha kujenga UDOM kwa kuripua ripua kama kingefanywa na Loca Contractor ungesikia CRB wamemfungia ila kwa kuwa ni mchina tunamsamehe.
 
Fighter

Kwenye m3 au m2 umeenda mbali kuna wengine hata kusoma na kuandika ni issue unajua sasa hivi sekta ya ukandarasi imeingiliwa haimzuii yeyote kufanya hiyo biashara unajua tofauti na madvocate na ma-auditor kwamba ili upractic lazima uwe professional

Very good observation,

Nahisi makampuni yangekua yanaogozwa au kumilikiwa na watu wenye fani hii!!! ubabaishaji ungekua kidogo siku hizi kichekesho kweli, bwanamifugo na kampuni ya ujenzi wapinawapi alafu anangangania kila kitu yeye hata ukimuuliza tu wajua what is method statement hajui!!

Kuna kampuni chache zaongozwa na maengineers zafanya vyema would love hizo zipate kazi
 
Fighter,

Nashukuru kwa technical explanation, Msuya is a civil Engineer or chemical and process eng? maana viginevo asingekimbilia kuzungumzia crack bila kujua ratios za cement ya kwenye concrete na mortar ambayo naamini ndo sehemu yenye cracks, I have been at Udom one time cracks zilizo nyingi kama sio zote zipo kwenye joints za beams/columns na masonry

Sijajua Msuya ni eng. au la!!

Kwa ufupi waweza kua na cracks zifuatazo kwenye structure(I refer building)
  • Block wall join with column or shearwall
  • Blockwall joints
  • Skimmed surface
Na hizo ni repeared na wala sio structure failure, mwambie mtu aende Udom alafu aseme wapi slab au column au beam imecracks? kwamaana hizi ndio structure members.
 
"Shida sio wachina wana haki kufanya kazi nchinikutokana na jinsi seikali yetu ilivyo wakaribisha, hawana makosa waetusaidia sana katika miundombinu na misaada yakifedha na kitechnology kuingana na uwezo wetu, ila shida inakuja sisi hatupendani na sheria tunazitunga ili zitumalize sisi kwa sisi,

kitendo cha CRJE cha kujenga UDOM kwa kuripua ripua kama kingefanywa na Loca Contractor ungesikia CRB wamemfungia ila kwa kuwa ni mchina tunamsamehe.

Do more homework!!

Sijajua UDOM imelipuliwa wapi?
 
1-26.jpg



Hii ni kampuni ya ujenzi ya waChina hapa Tanzania

hii kampuni inaongoza kwa kutuhumiwa kuwatajirisha maofisa wa serikali ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine kutoa tenda za ujenzi.

CRB nao inaonekana hawana uwezo wa kuwafanya kitu lakini kwa sababu kampuni za wazalendo hazipendwi na maofisa waserikali kwani hazitoi rushwa, sasa hivi wazalendo wengi wameamua eidha kuuza au kuhamia nchi za jirani huku Tanzania inaachiwa CRJE

Kama hamumini tazameni nani anapitisha tenda za hiii kampuni na hali zao za kimaisha zikoje. Pia kwa kuwa waChina bei zao ni za chini mno lakini ukweli ni kuwa wanaweka materials ambazo ni hafifu sana kwenye majengo lakini of course kwa sababu washawanuanua ma inspectors hakuna anayeweza kutia neno.

sisi kama wama taaluma hiii tumefika hatua ya kukata tamaa na juzi nilikutana na wanafunzi toka ardhi ambao ilibidi niwape hali halisi ilivyo huku nje ya shule.

Kama serikali ispoliangalia hili kwa undani basi muda si mrefu mtaona industry nzima inaanguka Tanzania wakati Rwanda na Kenya serikali zao zina linda local companies.

Mkuu hii taaluma unayoongelea kidogo inautata!!!

Kama uko smart ni facts tu ndio zitakuongoza kujenga hoja na sio personals!!
 
Kwenye upande wa kazi tatizo sio wachina ispokuwa na ni njaa zetu na kukosa uzalendo. Jengo halijengwi na mtu mmoja hatasiku moja. Kuna Client
ambaye atakuwa na Client of work wake, Kuna Consultant,
kuna structure engineer.
Kwahiyo kama hao watu sio walafi na wazalendo hakuna kitakachofanywa ndivyo sivyo bila approval yao.
Concern yangu ni mishahara wanayolipa pamoja na masaa ya kazi. Hii ni kampuni ya shirika la reli la serikali ya china lakini wanalipa kinyume na sheria ya nchi.Wanalipa kati ya 4,000 na 8,000 na wanafanyakazi wastani wa masaa kumi kwa siku kwa muda wa siku tano na masaa saba hadi nane kwa siku za jumamosi ambazo ndio siku za mishahara. Hakuna mikataba wala haki za wafanyakazi na watu wa Labour wanajua kwenda kuvuta na kusaliti watanzania wenzao. Na wachina wengi hawana elimu na hawana vibali vya kazi lakini Uhamiaji huenda kivuta hesabu kama ya kwenye daladala na maisha yanaendelea. Nawasilisha.
 
Jamani!!,naona tusiweze vitu kwa ushabiki!!!,kwamtu wa kawaida nyufa ina maana tofauti kabisa na wataaluma wa uhandisi wanavyoelezea,bahati nzuri nilikua kati ya timu walio sanifu baadhi ya majengo ya UDOM(structure design), majengo yote ni frame structure yaani kuta za matofali hazihusiki na ubebaji wa mzigo!!!Mpaka hapo msuya umenipata!

Sasa ni nadra sana kupata failure cracks kwenye aina hii,vitu waweza pata ambavyo ndio wengiweni mnazani ni failure cracks ni shrinkage cracks kwenye either kuta za tofali au kwenye skimming ambazo ni kawaida kwenye region ambazo evaporation iko juu,with time vitu hivyo uisha.

Wengine wamefikia hata kuita expansion joints ni nyufa, hii balaaa!!!!!!!

Kuhusu wakandarasi wazawa na wachina, kwa kweli sisi wazawa tunaitaji kwa kweli tujifunze hata nidhamu ya kazi, kwa taalifa tu kuna wazawa walipewa tenda huko UDOM lkn wengi wao ilikua aibu mtu analamba advance tu anakimbilia VOGUE na kuacha kazi ya watu baadhi yao walifukuzwa.

Mi naamini kama usimamizi ni mzuri wachina wanaperfome nenda UDOM angalia projects za mifuko tofauti utajifunza kitu.
bora hata umewaambia kwa maana wengi humu wanaongea kulingana na vile waonavyo na macho yao na sio kiufundi, baati nzuri me ni mmoja wa kati ya watu walioshiriki ujenzi wa udom, nianze kuongea kuhusu CRJE, hii ni super power construction co kwa nchi yetu huo ni ukweli, so tuache unafiki usiokuwa na maana" vifaa vya ujenzi walivyonavyo CRJE ni kwamba hata tukusanye vifaa vyote vya campany zetu za wazalendo hatuwezi kufikia kwa CRJE, Teknolog ya ujenzi imekuwa sio km zamani, kuhusu ma campany zetu wanasumbuliwa na vitu km hivi, tamaa, kutokujiamini, pamoja na mitaji, ila kwa vitu vyote hv Our gvmnt inapasa walaumiwe, nikiludi kwenye masuala ya kiufundi ni kwa kuna sheria za ujenzi pamoja na utaratibu wake ambao umewekwa na CRJE walifuzu ndio mana wanapata kazi, nijuavyo mimi tatizo lipo kwa wasimamizi waliowekwa na client ndio hawakuwa makini au rushwa ilihusika na madhara yake ndio hizo nyufa mnazozisema, me kwa sasa nafanya kazi nchi jirani jirani ila utaribu nilioukuta huku nazani hata kwetu upo ila isipokuwa hauzingatiwi, kuna vikao hufanyika kila baada ya wiki 1 au 2 viwausuo watu hawa Main contractor,client,sub conctractors, structure engenear, hachicteture engenear, nk, hii ni kukagua kazi jinsi inavyoendelea, sasa km vikao hivi vilikuwa havifanyiki hilo sio kosa Main contractor, mfano ujenzi wa udom mi sikuwahi kuona hata mara moja kwenye brock works wale mason kutumia zile kowa kila baada ya 2 kozi na zile kowa zinaumuhimu kuufanya ukuta waka ushikane na hapo sio rahisi kuona nyufa kwenye ukuta wako, sasa km hazikuwekwa sasa km hazikuwekwa Crje anahusika lakini pia msimamizi anahusika sababu inatakiwa hawepo hapo kila hatua inapopigwa. wito wangu kwa makupuni ya kitanzania kwa kweli wamelala sana yani hawajaonyesha nia hata kidogo ya kutaka kupambana na wageni, sasa tusipo amka tutaendelea kushuhudia faida zote zikienda nje ya nyumbani huku tukiendelea kulaumu. Vyuo vyetu kila siku vinazalisha wasomi lakini wanashindwa kujiajiri ndani ya nchi, ili tuijenge nchi yetu kwa viwango vilivyo bora vyakupendeza na vya utofautia ili iwe sifa ya nchi yetu, tofauti na hapo tutaendelea kushuhudia Structures,hachictectures, main contractors, sub contractors wote kutoka nje huku sisi tukiambulia ajira sizizo rasmi ambazo hazina tija kwa wananchi wetu
 
ndio hao waliojenga jengo la magamba pale Dom la kumteua mlinda mafisadi mwingine.
 
1-26.jpg



Hii ni kampuni ya ujenzi ya waChina hapa Tanzania

hii kampuni inaongoza kwa kutuhumiwa kuwatajirisha maofisa wa serikali ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine kutoa tenda za ujenzi.

CRB nao inaonekana hawana uwezo wa kuwafanya kitu lakini kwa sababu kampuni za wazalendo hazipendwi na maofisa waserikali kwani hazitoi rushwa, sasa hivi wazalendo wengi wameamua eidha kuuza au kuhamia nchi za jirani huku Tanzania inaachiwa CRJE

Kama hamumini tazameni nani anapitisha tenda za hiii kampuni na hali zao za kimaisha zikoje. Pia kwa kuwa waChina bei zao ni za chini mno lakini ukweli ni kuwa wanaweka materials ambazo ni hafifu sana kwenye majengo lakini of course kwa sababu washawanuanua ma inspectors hakuna anayeweza kutia neno.

sisi kama wama taaluma hiii tumefika hatua ya kukata tamaa na juzi nilikutana na wanafunzi toka ardhi ambao ilibidi niwape hali halisi ilivyo huku nje ya shule.

Kama serikali ispoliangalia hili kwa undani basi muda si mrefu mtaona industry nzima inaanguka Tanzania wakati Rwanda na Kenya serikali zao zina linda local companies.
Watumbuliwe tu.
 
Hebu weka sawa kidogo majengo ya udom yana nyufa?
Mbona ni suala zito lakini wewe umelita ktk fikra bila uhalisi? Hebu mwaga kwa mapana!!
Sewage system mfano ,kwenye majengo ya college ya humanities ni mbovu sana ,tuseme college zote kuna shida tiles zimebanduka.......yaani ni tabu tupu ...kwa ujumla ukiangalua umri wa chuo na majengo unaweka alama ya ulizo
 
Back
Top Bottom