credit kuchotwa kwenye modem yangu ya sasatel

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
wakuu ninayo modem ya sasatel,nliweka elfu 10 last month,sikununua bundle yoyote kwan nlikua nasafr,leo nimerud kuchek balance haipo!nahis wamenilamba!from today modem yao naitupia
 
Kama ulilipa bundle,uwa na deadline,let say 30 days!.,zikifika ata kama ujatumia thumuni.Wanailamba yote na hii ipo kwa wote ata TTCL,VODACOM etc
 
bundle sikununua mkuu!niliweka credit then nkaenda mkoa!nkajua nikirud ntakuta credits zangu!kurud leo nachek balance hakuna hata 10!au hairuhusiw kuwa na balance kwenye account?wizi wizi wizi
 
Kabla ya kuwatuhumu jiridhishe kwa mambo yafuatayo: baada ya ku-recharge huku conect internet?!, je, automatic updates settings kwenye comp yako zikko je?, kama uli-conect internet hata mara moja na outomatic updates zikiwa ON then ujue kuwa buku 10 inaweza kulambwa hata ndani ya sekunde 10, jiridhishe kwa hayo la sivyo utanunua moderm zote zilizopo duniani kabla ya kufirisika, ciao.
 
Back
Top Bottom