CREATIVE MIND ASSOCIATION - Wawafahamu hawa?

bahatika

Senior Member
Feb 10, 2012
120
29
kuna organization nimepigiwa simu nimeitwa kwa interviw inaitw CREATIVE MIND ASSOCIATION. Niliona tangazo lao zoom nituma Cv yangu wamenipigi interview itakuwa HOLIDAY INN. nomba msaada kama kuna mtu yoyote anawajua na interview zao zikoje?
 
hilo jina limekaa kiujanja ujanja sana.
Anyway walitoa nafasi ya Project Coordinator nakumbuka moja ya vigezo vyao ilikuwa ni lazma uwe unafanya kazi somewhere au uwe unaendesha biashara.
nilistuka sana nilipoona hiko kigezo, nikaamini wanataka kusaidiana na wewe katika kutumia(kutumbua) kipato chako unachokipata.
 
yani wamenistua eti training ni holiday in kama forever living vile, halafu walipiga simu walivyoona sijapokea wakatuma mpaka sms
 
Usiogope we nenda kawasikilize by da way unaongeza experience za kuwa interviewed.Interview huwa haziko constant so usitegemee jibu zuri kuhusu interview zao zikoje.Ila kutokana na jina lao "Creative mind..." inaonekana ni wabunifu wa...hasa mambo ya business.common interview qn ni' tell us about urself?why do you want to work with us?what do you know about team work..bongo interview qns ni zilezile.All the best remember do your home work bfr interview.
 
Hahaaa hawa jamaa zangu wamefika mbali sana.They are very self motivated living very high class life than their earningNenda ktk interview utapata maelezo ya kutosha halafu uje kutueleza matokeo.
 
yani wamenistua eti
training ni holiday in kama forever living vile, halafu walipiga simu
walivyoona sijapokea wakatuma mpaka sms

ck 1 niliitwa cnz mori nilitoka na ham,nafika kule kz ya promoshen nilichoka kbs.ila nenda ndg utajua mbivu hkhk.
 
yani wamenistua eti
training ni holiday in kama forever living vile, halafu walipiga simu
walivyoona sijapokea wakatuma mpaka sms

ck 1 niliitwa cnz mori nilitoka na ham,nafika kule kz ya promoshen nilichoka kbs.ila nenda ndg utajua mbivu hkhk.uckate wito kataa maneno.
 
kumbe ndo hawa na mi walitumia sms,eti wako cnza mori,mara njoo blue peal pale ubungo,nilipowabana wamepata wapi # yangu maana cjawah kuomba kaz kwao eti wanasema walipata kwny gazeti la mwananchi!nilishangaa,ss kwny gazeti la mwananchi # yangu inafanya nn!....
 
Back
Top Bottom