Create your smell, create you own look!

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Hope your weekend is great!

Moja ya mambo ambayo nimegundua yana mvuto wa kipekee katika mahusiano ni mwonekano wa kipekee

(Distinctiveness). Kipindi flani nikiwa primary sikuwa naishi na mama yangu. Alikuwa na harufu yake ya kipekee kiasi

kwambi kila nikitoka shule kama amekuja (kisha akawa ametoka out) nafahamu mama amekuja.

Kadhalika kwenye mahusiano. Kwa pamoja shirikianeni kuchangua sabuni, body spray, perfume na vikorombwezo

vingine ambavyo vitawapa smeli yenu ya kipekee (mwanaume na mwanamke separately) Huwa inaweka ladha fulani

kiasi kwamba anapokusogelea, u know here is where I belong! Nashauri mnaweza kubailisha after a period of time, lets

say 6months or a year!

About a new look, hebu jadilianeni kwamba wewe unapenda atokaje? Mfano kama hupendi mumeo awe na nywele basi

mshauri na mkubaliane kuwa atakuwa anaondoa nywele zote! Sasa ukute anavaa kamiwani halafu ana kakifua kidogo!

You get a perfect look of your own!

Mfano wangu sipendi avae sketi ndefu, na amejaaliwa kwa umbo kwa kweli! Nywele zake ni natural, tumekubaliana

kuhusu, lotion, perfume, deodorant, lip balm, nk nk, sasa when she appears lol! Yaani namtamani on the spot!

Nadhani inalipa, we unaonaje, haipendezi kuogea jamaa, kujipulizia SIMLA/COBRA, lip balm ya chungwa, uso

carolaiti,loh! Usiombe utupie kitu cha mafuta ya nazi
 
Sasa wacreate 'their own' wakati perfume sijui na spray unazotaja ndizo wanazotumia wengine?! Sema wachague zinazowapendeza na sio wacreate kitu ambacho wamekikuta created!!
 
Sasa wacreate 'their own' wakati perfume sijui na spray unazotaja ndizo wanazotumia wengine?! Sema wachague zinazowapendeza na sio wacreate kitu ambacho wamekikuta created!!

Lizzy, wanachocreate siyo perfume but thier own smell! Sasa mnakubaliana kuwa mtatumia

vikorombezo vya aina flani!

Mnaweza mkapiga cocktail inayowapa ninyi wenyewe kitu cha kipekee! Yaani unapatia kiasi kwamba unapita pembeni ya

mtu anachotaka kujua ni nini umeitupia! I think its possible kutengeneza smell yako pekee using what is already existing
 
Last edited by a moderator:

Remarkable mkubwa! smell ni kitu kikubwa sana kwenye mahusiano, hata mtu akiondoka unammiss u take nguo yake unanusa you feel so good... ila somtimes ni mbaya akipita mtu wa smell ya umpendae waweza jikuta wampenda naye ukidhani ndio yeye, lol.
 
Na ndo maana nikasema unacreate your own smell. Sasa ukiweza kupata cocktail nzuri kuanzia sabuni, lotion, perfume,

na vinginevyo unatoka na kitu chako. Mara chache sana kama ukipatia mixture nzuri ikawa inafanana completely na ya

mwingine, na ikitokea itakusumbua kweli hasa kama mhusika yupo mbali
 
Na ndo maana nikasema unacreate your own smell. Sasa ukiweza kupata cocktail nzuri kuanzia sabuni, lotion, perfume, na vinginevyo unatoka na kitu chako. Mara chache sana kama ukipatia mixture nzuri ikawa inafanana completely na ya mwingine, na ikitokea itakusumbua kweli hasa kama mhusika yupo mbali
Sasa nimekupata. Kumbe u make ur own kwa mchangayiko wa makorombwezo. THats good.
 
Remarkable mkubwa! smell ni kitu kikubwa sana kwenye mahusiano, hata mtu akiondoka unammiss u take nguo yake unanusa you feel so good... ila somtimes ni mbaya akipita mtu wa smell ya umpendae waweza jikuta wampenda naye ukidhani ndio yeye, lol.

hii iliwahi nitokea.....japo sikumpenda lakini nilikuwa natamani asiondoke....haya mambo ya kunukia haya....
 
somo zuri,kuna mtu anaweza kustick kwny perfum ama lotion flan kwa muda mref kna kwamba hata akipta mwngne utarecall yule ulozoea kumsikia na hyo smell. mf.me huwa natumia lotion flan huu mwaka wa sita cjabadilisha, naipenda sna na huwa naenjoy haruf yake hta kwenye nguo ama mwilin
 
yani mpo sawa san , i like perfum ki ukweli inaongeza mapenzi hasa kama mtu amekuwa nayo kwa muda mrefu it become the permanent smell hat akipita you easly know..
 
hii iliwahi nitokea.....japo sikumpenda lakini nilikuwa natamani asiondoke....haya mambo ya kunukia haya....

Hii huwatokea watu wengi si wewe tu Preta...harufu ni moja ya stimulus ambayo hufungua mfumo wa fahamu unaohusika na kunusa hivyo huamsha kumbukumbu hasi au chanya
 
Hii huwatokea watu wengi si wewe tu Preta...harufu ni moja ya stimulus ambayo hufungua mfumo wa fahamu unaohusika na kunusa hivyo huamsha kumbukumbu hasi au chanya

Unaweza ukapandwa na ma-stimuli mchana kweupe. . .Ndo upo posta ofisini kwa mtu unakiskia kiharufu hako
 
Lugha za watu hizi. Create your own smell.

Everybody creates a smell, naturally. The word smell when used unqualified has a negative connotation.

Kama unaongelea "cocktail" you must be talking about "create your own fragrance" than "create your own smell".
 
Hivi smell na scent zinatumika interchangeably?
Anyway, perfumes ama uturi ina sehemu yake. Kinachochanganya ni harufu tamu ya pumzi ya mtu. Sijui niite smell of the breath? Ajabu ni kuwa ukiacha kumpenda mtu huisikii tena hii harufu. Ni tamu, sexy, stimulating and all that. Sijui kama kuna mtu aliwahi ku-eksipiriensi hii.
 
Lugha za watu hizi. Create your own smell.

Everybody creates a smell, naturally. The word smell when used unqualified has a negative connotation.

Kama unaongelea "cocktail" you must be talking about "create your own fragrance" than "create your own smell".

Thanks for corrections! Unajua hii kitu ilikuja kwa meli? I will counter check and make necessary changes
 
Back
Top Bottom