CRDB Visa Card: Utata wa matumizi yake mtandaoni

Ndugu Manitoba na wanajamii FOrums wengine.

Msiogope kutumia VISA Electron debit card.

Jawabu: Jisajili paypal.com na utaweza kununua huduma kwenye internet bila namba za kadi yako kujulikana

Naomba kujua wao paypal wanapataje faida, ilhali huwa mpaka wana re-fund?!
 
Mi natumia sana card ya crdb kwa online transactions. Mara unapofanya transaction unapata sms kukujulisha kua kuna online transaction ya kiasi fulani imefanyika. Kama hauitambui kuna namba ya simu wameweka unapiga wanaiblock maana pesa inakua bado haijatoka crdb. So to me it is safe
 
Naomba kujua wao paypal wanapataje faida, ilhali huwa mpaka wana re-fund?!
  • Wanapata faida kutokana tozo la asilimia 1.9 hadi 2.9 kwa mpokeaji wa fedha
Paypal Fee Table:
For receiving transfers under $3000 USD: the fee is 2.9% + $0.30 USD.
For receiving transfers $3000.01 to $10,000: the fee is 2.5% + $0.30 USD.
For receiving transfers $10,000.01 to $100,000: the fee is 2.2% + $0.30 USD.
Receiving transfers over $100,000: Paypal charges 1.9% + $0.30 USD.
Endelea hapa:http://v.ht/ppalfaida
 
Hawa NMB wametoa visa card yao,ilizinduliwa na mh.presidar kwa mwenye ufahamu please!
 
Ndugu ni kitu gani hicho unachotaka kununua ambacho tanzania hakuna ? Naomba unifahamishe naweza kukuelekeza duka wanalouza au kampuni inayo deal na programu hiyo

ahsante

Mi nataka kununua amazon kindle fire, nielekeze duka. Nakaa dsm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom