Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 3,952
- 5,982
Crdb ina board of directors na board ya benk aiendeshi kama banda la mama ntilie kamanda mponjori kimei ana mtoto crdb wakiume ni banker lakini yupo nbc.jf tusiwe wazushi let us be great thinker always
maoni yangu.
Ukiona unashindwa kuanzisha baishara na kisingizio kinakuwa mtaji, ujue wewe siyo business material unless ubadilike. Usipobadilisha huo mtazamo endelea kutafuta ajira kwa nguvu zako zote, wewe ni employee material.
Ni maoni yangu, yanaweza yasiwe sawa.
Pili crdb ni kweli wana nepotism sana. Karibu kila mtu crdb either ana ndugu yake wa damu pale au mtu wa karibu. Hii inaanzia kwa charles kimei mwenyewe, mwanae wa kike yuko udsm pale na wa kiume alikuwa azikiwe.
Ndiyo maana kazi zao nyingi sana huwa hawatangazi kwenye magazeti. Crdb kazi ni kuitana tu, kazi zinatangazwa ndani kwa ndani watu wanaita ndugu zao. Hii ni hatari sana ukichukulia ile benki serikali ina hisa zake pale. Pia ile imekuwa public company baada ya hisa kuanza kuuzwa dse inatakiwa iache kuajiri kisanii sanii.