Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 288
Jamani hivi kuna nini hapa crdb -bank na halimashauri ya jiji la mwanza? Hadi leo hii wako kimya kuhusu mishahara yetu sisi tunaopokelea bank hii. Kwanini tuna adhibiwa hivi jamani?
Ahsante mkuu, japo kwa kunipa faraja, kwakweli hali ni mbaya sana, tulizoea kila tarehe 25 hivi mishahara inakuwa kwenye account tayari, lakini mwezi huu wameamua kuni chakaza.Sio CRDB wanaokuazibu ila ni serikali ya CCM ambayo haijapeleka mishahara hiyo huko