CRDB Internet Banking

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
Habari Zenu,

Mimi ninataka kufungua CRDB Bank account ile nitumie kwajili ya online shopping..sasa nilikuwa ninauliza CRDB Initial Deposit ya USB Account ni shs ngapi?,,yani hela ya kianzio ya $ ya kimarekani ni shs ngapi? na pia Internet Banking kulipia CRDb shs Ngapi??na pia Visa Card unapewa baada ya siku ngapi?na pia ni shs ngapi Kulipia visa card..

Ukifungua akaunt crdb wanakupa choice ya kuchagua visa or mastercard. Ukishapata atm card unaomba huduma za internet banking then wanakupa 4m unajaza and ndan ya 24 hrs unakuwa tayar umeshaunganishwa.

Hilo ndo jibu la kuzingatia!!

na hiyo internet banking is the same as mobile banking japo kuna slightly different ila ipo very sensitive unapolog in hewani maana kama unatumia hizi piraty software za ku crake sikushauri unless waja lia.

na hiyo internet banking is the same as mobile banking japo kuna slightly different ila ipo very sensitive unapolog in hewani maana kama unatumia hizi piraty software za ku crake sikushauri unless waja lia una geniune kwenye pc yako .

tafadhal fafanua technicaly

hey bro nenda website hii http://paypal.com then fungua account halafu link account yako ya benk na account yako ya paypal then ukifanya transaction ya internet utumie paypal so visa au master card.

Ukumbuke online transaction kadi yako haina password wakipata details zako wanadraw annytime hela zako

master card unapata baada ya wiki 2 hadi 3 crdb

thx kwakuniambia ivyo na i wont give my details to anyone..na ndio paypal naijua soo i will create an account there.

na hiyo internet banking is the same as mobile banking japo kuna slightly different ila ipo very sensitive unapolog in hewani maana kama unatumia hizi piraty software za ku crake sikushauri unless waja lia.
asante sana naelewa kuhusu hivyoo

Ukifungua akaunt crdb wanakupa choice ya kuchagua visa or mastercard. Ukishapata atm card unaomba huduma za internet banking then wanakupa 4m unajaza and ndan ya 24 hrs unakuwa tayar umeshaunganishwa.
atm card unalipia shs ngapi?

na hakuna mtu alionijibu kuhusu initial deposit kwa usd account
Mkuu kwanza kabisa nenda crdb waactivate card yako for online purchases itakuwa tayari after 24hrs, baada ya hapo ndio unafungua akaunti ya paypal hauwezi kufungua acc ya paypal bila crddb kuactivate card yako elewa hicho kitu kwanza,kuhusu acc ikae na sh ngapi inategemea unataka kununua kitu gn onlne,kama unataka kununua kitu cha dola 500 basi account yako isizidi sh laki 8 za kitanzannia coz hao paypal huwa wana currency convertor kutoka kiwango chochote cha fedha duniani,usiweke pesa nyingi kwenye acc yako kwa sababu hao wazungu wenyewe ni wajanja sana na unaposaini crdb kuhusu online shopping crdb hawatahusika na upotevu wa pesa kwenye acc so kuwa makini sana,nasema hivi coz mimi ni mtumiaji mzuri wa hii huduma ya online na najua mazuri na mabaya yake.

mimi nlifungua student acc ambapo minimum opening fund ni elf 5. Na kwa sasa internet banking ni bure hawajaanza toza.

ok iyo ni kwa students ac ndio mana...but for personal ni 20000 kianzio lakini hiyo ni ac ya tshs je ya USD ni ngapi?

Mkuu kwanza kabisa nenda crdb waactivate card yako for online purchases itakuwa tayari after 24hrs, baada ya hapo ndio unafungua akaunti ya paypal hauwezi kufungua acc ya paypal bila crddb kuactivate card yako elewa hicho kitu kwanza,kuhusu acc ikae na sh ngapi inategemea unataka kununua kitu gn onlne,kama unataka kununua kitu cha dola 500 basi account yako isizidi sh laki 8 za kitanzannia coz hao paypal huwa wana currency convertor kutoka kiwango chochote cha fedha duniani,usiweke pesa nyingi kwenye acc yako kwa sababu hao wazungu wenyewe ni wajanja sana na unaposaini crdb kuhusu online shopping crdb hawatahusika na upotevu wa pesa kwenye acc so kuwa makini sana,nasema hivi coz mimi ni mtumiaji mzuri wa hii huduma ya online na najua mazuri na mabaya yake.
asante...sasa initial Deposit ya USD ac ni Dollar ngapi?

Hata mimi nahtaj kufungua paypal akaunt. Ambaye ameshafungua paypal atujulishe inakuwaje na n jnc gan ufanye iwe ktk security nzuri ?

asante...sasa initial Deposit ya USD ac ni Dollar ngapi?

Usiwe mzembe bana, kwa nini usiende crdb branch yoyote wakupe maelekezo? au simu zinakudumaza, km vp sema tukuinbox namba za wahusika utwange bana!

Back
Top Bottom