Crdb hii ni kero................you need to change plz....!!!

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Nimekuwa napata tabu na hii benki inayofanya vizuri kwasasa kwenye Banking Industry.Kuna kero juu ya Staff wake hasa wa kike,mfano wewe ni mteja na upo dirishani kwa Teller unakuta vinanyanyua simu nakuanza kuchat mbele yako....Leo nimeenda CRDB Dodoma Branch kwa ajili ya kufatilia kadi yangu ya ATM,chakushangaza wameniacha nimesimama zaidi ya nusu saa,nilipowaambia mbona sipati huduma wanasema tulikuwa tunawaudumia waheshimiwa yaani wabunge....Kwa kweli nilipandwa na hasira sana...yaani ubunge wao unanihusu nini mimi? Niliwaifanya kazi NMB miaka fulani akaja mbunge mmoja wa viti maalumu toka Iringa akitaka nikamchukulie hela ndani maana anawai,kwakweli nilimwambia wazi sikufahamu naomba upange foleni...........CRDB mnakera jamani....
 
Hii bank huwa naambiwa ni one of the best and efficient banks in Tanganyika, in short ndo bank nzuri ya kwanza ya kizalendo kwa huduma tanganyika sasa kama hao staff wao wameanza kuleta marangi basi itaanguka muda si mrefu/ at least kupungukiwa wateja hasa wa mjini!
 
CRDB imepoteza UHALALI wa kuitwa benki inayomjali mteja... au ni benki inayomsikiliza mteja? LOL
 
Tukiwasema kama hivi watajirekebisha, hizi ndizo benki zetu za ndani hivyo tujione tunawajibu wa kuwakemea wanapofanya ndivyo sivyo, kukimbia (kubadili) benki sio suluhisho la kudumu nadhani ni matatizo madogo madogo pengine kama branch manager alionja miguu ya huyo mtoto, na kuwa mtoto hana maadili mema tangu huko kwao alikotoka linaweza kuwa tatizo la mtu binafsi zaidi kuliko tatizo la benki.

Wakati mwingine tukiona kero zinazidi unaonana na kiongozi wake na kutoa malalamiko yako kwamba hukutendewa unavyo paswa kama mteja, ndio maana watu hao (supervisors) wapo na wanalipwa kwa hilo.
 
Branch za DSM ndio usiseme.
Jamaa yangu karibuni alienda kutoa hela, sister duuhh aliyekuwa akihudumia huku akilonga na hawara zake akajikuta amempa million 3 badala ya million1.5 (badala ya kutoa bunda tatu za laki tano yeye katoa tatu za million moja moja ). Jamaa alipogundua alichukua akaomba kumuona branch mger lkn kama kawa haikuwezekana. Basi jamaa kwa hasira kaondoka zake. Baada ya siku tatu kaenda tena yule binti akamfuata akisema nilikupa pesa zaidi last time, jamaa akakana kwani hawana ushahidi walikuwa wanagamble tu.
So CRDB msipoangalia siyo tu mtapoteza wateja bali pia pesa zenu..
 
Pale mlimani city Branch, kuna dada mmoja mrefu, mweusi na sura yake mbaya kama yangu, anadeal na business acounts. Kwa kweli Mungu anisamehe each time I go there huwa sitaki hata kumwona kwa jinsi anavyonyanyapaa wateja wenye majina madogo. This bank is stinking, tatizo kwa hapa TZ, karibu benki zote zina tatizo la aina moja, huduma na kujali wateja ni zero.
 
Nina plan kufungua account pale Mkwaa University. pale wana dada mmoja tu wengine wote mamen. so mnakaribishwana mikono miwili.
 
Hata mimi nadhani bado crdb ni bank nzuri sana, mumy go online utaenjoy...nadhani hayo ni mapungufu madogo madogo ya kufanyia kazi (housekeeping)
 
Jaman huo ubunge c ni wao au vp sa waulete kwenye maofisi wa nin,kama wanataka huduma za hvo wafungue bank kwa ajil zao wakija bungen ziwe zinawasaidia hzo ni dharau tena kubwa sana
 
Jana systems zao zilikufa kabisa.....nilikaa zaidi ya saa 3.......na nilizunguka branch nne.....Kijitonyama,Mlimani City,University na Mbezi Beach......kote foleni mpaka nje
 
Hata mimi nadhani bado crdb ni bank nzuri sana, mumy go online utaenjoy...nadhani hayo ni mapungufu madogo madogo ya kufanyia kazi (housekeeping)

haus keeping ndo inamata
pale udsm kuna mdada mmoja mwembambaaa mreefu alkuwa ana upara skuiz anasuka mhh ana jeuri ana saut nziito km ya rem ongara anajifanya wamjin ....anakaripia tu.... na skuiz yupo apo udsm crdb ya bonden sio kule karbu na hillpark

na ile ya habari yao ...nenda branch uliyofungulia akaunt...inaboa
u ni urasimu...mambo ni kwa computer y dnt u put t na mambo yatajiswitch ukouko...mtu upo twn unaambiwa uende udsm ulipofungulia ...ahh uo mda ninao...
 
KWELI WANAHITAJI MABADILIKO.
Jana J3 11/04/2011 nilikuwa pale kupata huduma(Kupeleka picha tu ili nijaze form za kuomba ATM card mpya) lakini ilinichukua zaidi ya saa 1:17, ndio muhudumu akaja kunisikiliza. Zaidi ya hapo tellers walikuwa wawili tu wakati kulikuwa na foleni kubwa kiasi, wanajifanya wapo bizy kule ndani wanapitapita tu hatujui wanachokifanya.

Management inabidi wabadilike,wawe wanasimamia kauli mbiu yao.
 
...Nimekuwa napata tabu na hii benki inayofanya vizuri kwasasa kwenye Banking Industry.Kuna kero juu ya Staff wake hasa wa kike,mfano wewe ni mteja na upo dirishani kwa Teller unakuta vinanyanyua simu nakuanza kuchat mbele yako....Leo nimeenda CRDB Dodoma Branch kwa ajili ya kufatilia kadi yangu ya ATM,chakushangaza wameniacha nimesimama zaidi ya nusu saa,nilipowaambia mbona sipati huduma wanasema tulikuwa tunawaudumia waheshimiwa yaani wabunge....Kwa kweli nilipandwa na hasira sana...yaani ubunge wao unanihusu nini mimi? Niliwaifanya kazi NMB miaka fulani akaja mbunge mmoja wa viti maalumu toka Iringa akitaka nikamchukulie hela ndani maana anawai,kwakweli nilimwambia wazi sikufahamu naomba upange foleni...........CRDB mnakera jamani....

Lol! Lol! Lol! yani i wish ningekuwa ndo mimi wangeshuhudia na ningewapa adabu!! pia waliwahi kunifanyia ivo mie Pale Lumumba, nilichokifanya mpaka leo nikifika kila mtu ananichekea na kunihudumia ontime, wajinga sana hawa wa2. Pesa zetu ndo zinawawezesha wao kwenda kunako toilet lkn wana dharau sana.
 
yaan muda mwngne wanaboa wewe

wanazunguka tu ndani folen iyooo toka ubungo mpk tazara....afu kwa kujifanya wa mjin mweeeeeeeeeeee....aya bwana crdb oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
naipenda sana lakin wanaboa sana mda mwngne
 
Back
Top Bottom