Crdb bank,kwa nini mnaongoza kutunza fedha za wizi unaofanywa na viongozi wa ccm?

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
wana JF kuna kitu nimejaribu kujiuliza sipati jibu kwa nini wizi mkubwa wowote serikalini KWA MFANO EPA fedha zilitawanywa na CRDB BANK naomba kujua,kwa nini mafisadi wanaitumia sana bank hii kufanikisha wizi wao?
 
hujui hata unachoongea..fanya utafiti kwanza,hela za epa zilikwapuliwa kutoka benki kuu
 
hujui hata unachoongea..fanya utafiti kwanza,hela za epa zilikwapuliwa kutoka benki kuu

Usivamia mada kwa jazba anachotaka kujua ni kwa nini fedha zinapoibiwa katika benki yoyote ile na mafisadi lazima zifichwe crdb?hilo ndo hoja yake ya msingi
 
can he come up with some evedence, because this can be very helpful to this Forum and even in the court of law? would you mind to provide us with some transactions or account numbers otherwise stop these allegations
 
J RATED, I want to know why jazba?Fuatilia fedha za EPA.KAGODA NK BAADA YA KUKWAPULIWA BENK KUU ZILIPELEKWA BANK GANI KTK BANK ZA TZ?LET ME KNOW HOME THE GREAT THINKERS JAZBA ZA NINI?
 
KYC & AML ni vitu vipya na CRDB benki ya zamani inawezekana walipata challenge kwenye ku update records zao zi comply na new regulations.
 
wana JF kuna kitu nimejaribu kujiuliza sipati jibu kwa nini wizi mkubwa wowote serikalini KWA MFANO EPA fedha zilitawanywa na CRDB BANK naomba kujua,kwa nini mafisadi wanaitumia sana bank hii kufanikisha wizi wao?

Hujui usemalo mzee, ndio maana watu wameku challenge mapema na huna majibu. Nenda kasome BOT Act na Banking & Financial institution act utajua kuwa benki kama benki haina kosa na ilitimiza wajibu wake
 
..duh! Kaaazi kweli kweli! Elewa swali kwanza siyo unakurupuka tu ku critisize.
 
wewe umeelewa vipi?

Mimi nilivyoelewa ni kwamba muuliza swali anataka kujua kwanini fedha za wizi zikiwamo za EPA na Kagoda na nyingine nyingi zilizoibwa na mafisadi nyingi zilipitia benki ya CRDB?. Inawezekana Kimei ni rahisi kuzungumza nae kufanikisha malengo kuliko viongozi wa mabenki mengine na pia CRDB ni benki kubwa yenye mtandao mpana hivyo inaweza kuwa vigumu kufuatilia transactions!
 
hujui hata unachoongea..fanya utafiti kwanza,hela za epa zilikwapuliwa kutoka benki kuu

uwe unajifunza kuelewa thread, hap si shule kusema ujibu vyovyote mwl asahihishe jibu lake,tulia usiijaze server naa michango hewa,wantu wanafikiria hapa,sawa?
 
Hujui usemalo mzee, ndio maana watu wameku challenge mapema na huna majibu. Nenda kasome BOT Act na Banking & Financial institution act utajua kuwa benki kama benki haina kosa na ilitimiza wajibu wake

dogo,nakuita dogo kwa kuwa naona ubongo unazidi kuwa mdogo. Unasema akasome BOT act na B&F act kwani kuna sehemu acts izo zimetaja kuwa ela ya wizi itunzwe bank flani na benki flani isitunzwe? swali apa ni kwa nin i ela zilizokwapuliwa bank kuu na kwingineko zinatunza crdb. Ningedhani ungemjibu kutumia Anti Money Loundering act, sasa unakimblia kwenye Banking and finacial regulations au unadhani kakuuliza jinsi ya kuanzisha na kuendesha benki? Ni mara ngapi crdb imeingia kenye skendo za kufungua a/c siku za mapumziko mfano may day ambako wahusika wa kufungua a/c wanakuwa hawapo? hapa ungepampanua jinsi uongoi wa crdb na yule mdada akiwa na kimei wanvoratibu upuuzi upitie huko,ikumbukwe hata bilioni za uchaguzi zilizokataliwa barclays kutoka nje zilipitishwa crdb. Kama una cha kusema waache wenye kuelewa waongee, si lazima kuchangia ndugu!

aya nimeweka attachment za acts ulizoelekeza zisomwe, je ni wapi umeelekeza ushauri wako, ebu tueleze ndugu.
 
Attachments

  • BAFIA2006.pdf
    128.9 KB · Views: 21
Back
Top Bottom