Crazy wife.

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
[h=6]CRAZY WIFE.
Ilikuwa mida ya usiku, baada ya kula chakula cha lala salama mke akamwambia mumewe

MKE: Honey, leo tubadilishe style. Kila siku style hiyo hiyo!

(Mume kwa furaha akajibu)

MUME: Kama ulojuwa mke wangu,jambo hilo lilikuwa mawazoni mwangu. Sasa leo tutafanya style gani?

MKE: Wewe utaosha vyombo, mimi niangalie TV.[/h]
 
Mkuu tayari wife ni crazy, mi ntazima main switch hivyo atajua ngeleja yuko kazini, na vyombo vyake atavikuta vinamsubiri asubuhi mi huyo mzigoni.
 
Huyo mke hakuwa crazy hata kidogo ila alitaka msaada kwa mumewe. Na ni mwanamke mwenye busara asiyependa kulalamika na kusengenya. Alitumia trick nzuri sana ya kumfanya mumewe amsikilize kwa makini kwa kutumia mtego wa style za kufanya mapenzi. Joke hii ni nzuri na inafikirisha msomaji. Imenifikirisha na kunifurahisha.
 
Lakini ninavyojua mimi kwenye majamboz kuna style inaitwa 'Kuosha vyombo' na nyingine inaitwa 'kuangalia TV'
Nadhani shemeji hakutoka nje ya mada.
 
[h=6]CRAZY WIFE.
Ilikuwa mida ya usiku, baada ya kula chakula cha lala salama mke akamwambia mumewe

MKE: Honey, leo tubadilishe style. Kila siku style hiyo hiyo!

(Mume kwa furaha akajibu)

MUME: Kama ulojuwa mke wangu,jambo hilo lilikuwa mawazoni mwangu. Sasa leo tutafanya style gani?

MKE: Wewe utaosha vyombo, mimi niangalie TV.[/h]

mmh! Kwl crazy wife,kwetu tunawaita "hot cakes"
 
ukrez wake uko wapi hapo maana style si zipo nyingi na siyo za kwenye mapenzi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom