Crazy things you did in secondary school

Kwa wale tuliosoma Tabora Girls mnakumbuka mambo ya WARSAW NA BERLIN
tukitoka disco pale milambo wanaume tukiwa tunarudi tunawakuta wavulana wa TABORA BOYS ndo wanakula ugali wa usiku tunawazomea haoooo tumetoka kwa shemeji zenu basi usiku wanavaa kininja wanakuja Girls na fimbo na kutuchapa vibaya mno..............

ha ha ha hata mimi hapa navaa kininja natandika bweni zima.
 
This is nt the crazy thing i did bt rather a crazy thng that happened,infact crazy doesn't begin 2 explain t!! Ilikua ratiba cku hiyo ni nyama, sasa wapishi wanapika pan za kupikia ziko waz unfortunate bonge la mjuc likadondokea kwenye pan alafu hawakuona wala hawakujua nalo likapikiwa humo humo!

Kasheshe likaanza mda wa kuserve chakula,jamaa m1 akaona nyama kubwa aka mkomalia anaeserve ampe akapewa!kupewa nyama yenyewe mjusi!! Ilikua ni vurugu mech,!

chakula nilichokua nakula cha shule ni wali na nyama 2, baada ya hiyo issue,sikulaga msos wa shule mpaka namaliza!!
 
wapi ticha chali,wapi muhumpa,wapi kaishozi,wapi mtimatuku,wapi mgulamwendwa
 
Kuna ticha mmoja wa kike nilikuwa nampenda xana awe demu wangu.So nikiwa na adhabu hata kwa mwalimu mwingne nilikuwa naomba niadhibiwe na yeye tu. Mwaka mzima.

Hahaha wakiniuliza sababu mdomo unajaa mate
 
RIP walimu wangu wafuatao:
1. Chikamba (Bios)
2. Nyakarungu (Geog
3. Nyambaba (Geog)

Chikamba aka chikudu alikua mwl wangu wa bios form 1, alikua alinifundisha kutumia microscope pamoja na zile 6 scientific steps.

Nyakarungu alikua mwl wa geog form 2 alifundisha mambo ya semi sedentary.

Nyambaba alikua mwl wa geog form 1 na alifundisha what is geog na kila kitu about it.

Walim hawa kwa pamoja walifariki mnamo mwaka 2000 kwa ajali ya costa wakisafirisha mwili wa marehem kwenda bunda.

Siku ya kuwaaga tulikua nyuma ya jengo la ofisi ya walim tukaimba wimbo wa shule pamoja na wa taifa kisha tukatawanyika.

Baada ya nusu saa tukamkuta mwanafunzi mmoja maeneo ya mlima karibu na shule akitaka kujiua eti kisa mpenzi wake miongoni mwa walim waliofariki alimwahidi kuwa nae maishani na sasa hayupo tena.
Tulimkamata tukampeleka ofisi ya walim kwa msaada zaidi.

Hili ndo tukio lilonijia kichwani baada ya kusoma heading. Kumradhi kwa kutoka nje ya mada.
 
nakumbuka nikiwa la std 7, afu ndo nilikuwa kati ya top 5 wanaotegemewa kubeba bendera ya shule.

Tukafanya mitihani, nikapata inglish 16% walimu walipagawa wakaniita ofisini wananishambulia wanataka kunichapa. Ile kuniuliza nimepatwa na nini.

Nikawajibu, Nimerogwa.

Ilibidi waniache maana nilikuwa nalia kama mfiwa.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha..........

mpaka nimesahau kuandika vyangu.......

aksante sana Invisible , na wengineo wote kwa kutuchangamsha na visa vya zamani....

wapi Evelyn Salt ,

Asee nilikuwa std 6 siku hiyo nikaenda shule nimevaa malapa zile ndala kabisa za kuogea kama zali Mwl. Mkuu akaniita kwa ishu zingine tu si nikaenda nachechemea nkajifanya nna kidonda
akanituma nimuite dogo mwingine sijui mtego nikaondoka natembea kawaida nkasahau kuchechemea kumbe kashtukia.

mweh naulizwa umeumia wapi? Nkabaki natoa macho tu nilipigwa stiki 15 pale pale
 
ha ha ha ha ha ha..........

mpaka nimesahau kuandika vyangu.......

aksante sana Invisible , Dark City , Kongosho na wengineo wote kwa kutuchangamsha na visa vya zamani....

wapi Evelyn Salt , King'asti , lusungo , Karucee ,[MENTION]ralpunzel[/MENTION] , Jawilat , Arushaone , Preta , Mamndenyi , Mauno , masai dada watu8 Heaven on Earth , charminglady na wengineo

mimi nilidanganyaga naumwa mguu wa kulia ili nisiende shule nikapelekwa kwa nguvu na baiskeli

KURUDI NIKAWA NACHECHEMEA WA KUSHOTO
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha..........

mpaka nimesahau kuandika vyangu.......

aksante sana Invisible , Dark City , Kongosho na wengineo wote kwa kutuchangamsha na visa vya zamani....

wapi Evelyn Salt , King'asti , lusungo , Karucee ,ralpunzel , Jawilat , Arushaone , Preta , Mamndenyi , Mauno , masai dada watu8 Heaven on Earth , charminglady na wengineo

Hivi huwa mnaanzia wapi kutafuta thread za zamani??

You just made my day....nikipata nafasi nitatupiamo kengine....I hope haitakuwa replay!

Mubarikiwe sana......
 
Hivi huwa mnaanzia wapi kutafuta thread za zamani??

You just made my day....nikipata nafasi nitatupiamo kengine....I hope haitakuwa replay!

Mubarikiwe sana......

unajua tumeona tujikumbushe hazina za zamani baada ya majukwaa kuzidi utoto na wengine hatuna vipaji vya kuanzisha thread na changamoto zetu za maisha tunapambana kimya kimya........

Big up sana , hii kitu imenifanya nikumbuke mengi na kucheka sana.
 
Nadhani hii ni strategy nzuri. Siku nikikosa uzi wenye mashiko nakimbilia kwenye archive! Kuna mambo mengi yalijadiliwa huko nyumba na alikuwa na tija sana...kwa kuchangamsha, kufundisha na kutuweka pamoja kama jumiya ya wana JF/MMU!
 
Zamani ilikuwa ukiingia kwenye thread unaburudika , unajifunza , na unajijengea ukomavu wa kujenga hoja.......

Ni vizuri kuingia chimbo wakati mwingine kuchangamsha akili na kupima tofauti ya miaka hiyo na wachangiaji wake.......

tumewamiss watu kama kina AshaDii The Finest Lizzy Dena Amsi etc.
 
Kweli kabisa mkuu,

Kuwa wadau wengi sana, tena muhimu katika huu dunia ya MMU wamepotea sana....

Huyu Da Asha (@AshaDii) kapotea mno hadi anatia shaka. Kuna wadau wengine kama klorokwini, Nyamayao, WoS (@WomanOfSubstance)...na wengine kibao ambao naamini ni wazima ingawa kimya chao kinatia shaka.

Enzi hizo ilikuwa hatari kufungua JF kabla ya kuchapa kazi kwani uwezekano wa kukamatika ulikuwa mkubwa sana. Siku hizi hata ukifungua, bado utaondoka tu....Hakuna sumaku tena!

cc:mad:Mbu, The Boss, Fixed Point, gfsonwin, KOKUTONA, Preta, marejesho (huyu lazima nimfikishe kwa pilato ndani ya wk 2 zijazo), Blaki Womani, mwenyekiti PakaJimmy na wadau wengine kiboa.....!
 
mzee mzima hapo kwenye nyekundu nikipata ufafanuzi siyo vibaya ili akija na mimi niwe nimejipanga........
 
Back
Top Bottom