Crazy things you did in secondary school

Tahadhali: Hii inaweza kukera wasomaji
Ilikuwa ni sherehe ya ubatizo wa watoto iliofanyika katika kanisa ambalo lipo karibu sana na shule yetu. Baada ya ubatizo huyo wanafunzi wengi walijimwaga kwenye nyumba zilizobatiza watoto siku hiyo. Karibu robo tatu ya wanafunzi walikuwa wakinywa na kula katika kijiji kilichozunguka shule.

Kundi moja la wanafunzi lilipania sana siku hiyo na hadi kufikia saa kumi na moja jioni, mmoja wao alikuwa ameshafleti kwa kufakamia mataputapu.... Hivyo ikabidi abebwe hadi shuleni. Kutokana na adha waliyopata wabebaji hao waliamua kumvunjia yai kijana huyo ili akiamka ashike adabu yake na asiliwe tena. Mbaya zaidi wakati wa chakula cha usiku jamaa wale walikuwa wakimpakazia mwenzao kuwa kafanyiwa kitu mbaya huko kijijini na wao ndio waliomuokoa...

Hata alipoamka siku ya pili yake na kujikuta katika hali ile, hakushituka kabisa wala kuona noma ya aina yoyote... Zaidi waliomfanyia noma ile ndio walioona aibu...!
 
...Utakuta mtu anapita koridoni na karatasi yake anaipekecha ili ilainike.... "pyeke pyeke pyeke..."

ah ha ha... kwetu lilikuwa linaitwa Carpet hilo,... maana vyoo vya shimo vilikuwa haviishi 'tupa nikutupe', unatanguliza 'kapeti' kwanza kisha unaendelea 'kutunga sheria'
 
Kuna jamaa mmoja alikua anapenda kuvizia kwenye mikusanyiko ya watu then anaachia shuzi kwa sauti kubwa....then huyoo anakimbia. Watu wa vituko tuliwaita mataahira (by then kuitwa taahira ilikua ujiko fulani hivi), hapa ilikua mti safi (Umbwe) miaka ya 90 katikati

Tulikua tunakula chakula kwa utaratibu wa meza ya watu dazani moja, halafu 'server' anafuata chakula jikoni....Basi siku ya wali jamaa anayehudumia anafikisha kama nusu mezani, kulikua na utaratibu wa kuiba msosi njiani 'kupiga dipu'.

Kulikua na head prefect aliyekua mnoko kuzidi hata displine master, basi kikundi fulani (kilijiita CSC - something to do with Committed Sweeted Comandos), waliamua kuchota uchafu chooni (Maputo) na kummawagia chumbani kwake kupitia dirishani.

Tulichanga hela na kumpa jamaa ili akatengeneze 'dawa' kwa mtaalamu ili tuweze kushinda mechi ya soka kati ya darasa letu na lingine.
 
~Ulitengeneza water heater kwa kutumia spring za vitanda. Usiku wa manane unachemsha mahindi ya shamba la shule. Container la kuchemshia mahindi ni plastic la nje la chupa ya chai iliyoondolewa flask yake, inashikiliwa upside-down, i.e mfuniko ndo unakuwa base, na bottom yake inafunguliwa kuwa ndo mdomo wa 'sufuria' lako. Heater inawekwa kwanza katikati, then mahindi yanakatwa vipande na kupangwa around the heater.
Ukimaliza kuchemsha unarudisha waya wa umeme juu ya dari ambako ndiko connection ilikofanyika, kwani ni marufuku kutumia umeme wa socket!
...Safi sana Opaque heater za spring mi nilizitumia mpaka JKT hizo na siku moja kuna afande alipokuja kuiona hiyo heater alizima fegi mwenyewe!!!!Old is Gold!!!!!!!!!!!
 
  1. Tulichanga hela na kumpa jamaa ili akatengeneze 'dawa' kwa mtaalamu ili tuweze kushinda mechi ya soka kati ya darasa letu na lingine.

Hahahahahaaaaaa, sishangai kwa nini watu wapanga foleni bagamoyo, uzoefu walianza pata zamani!!!!
 
Na sisi wa International schools, kumbukumbu zangu za sekondari ni kuruka na mabinti wa mabalozi na wahindi wa upanga ambao otherwise tusingeweza kuwagusa!! was kinda like an escape from the harsh realities...
 
Renatus wa fom 3L Azania ( group B) mwaka 93 alichukua mikate ya darasa zima kwa kujifanya yeye monita, bado namaindi sana ile siku na siku nikikutana naye ama zake ama zangu!!

:eek: duh!
 
...Safi sana Opaque heater za spring mi nilizitumia mpaka JKT hizo na siku moja kuna afande alipokuja kuiona hiyo heater alizima fegi mwenyewe!!!!Old is Gold!!!!!!!!!!!

Kulikuwa na heater za mabetri (seli kavu). Sijui ni kwa kiasi ilikuwa salama kutumia tekelililotuumiza hilo. Lakini short zilikuwa za kufikia maana zikigusana tu moto unaanzia kwenye chombo. Shukrani kwa serikali kuweka system nzuri ya circuit breaker maana zingekuwa kama za ikulu, shule nyingi zingeungua.
 
ladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...

unakumbuka kuwa na vijembe......unakuwa na ukoo hapo shule ambao mnaheshimiana kama unavyoheshimu wazazi wako na pengine hata zaidi ya siblings wako. Unakuwa na mtoto, mama, bibi, aunt and so on.
 
unakumbuka kuwa na vijembe......unakuwa na ukoo hapo shule ambao mnaheshimiana kama unavyoheshimu wazazi wako na pengine hata zaidi ya siblings wako. Unakuwa na mtoto, mama, bibi, aunt and so on.

haswaaa.. tena watoto wa form one badala ya kuwaonea kama wanaume walioelezea kuwatesa njuka ...unawalea kama mdogo wako u mwanao!
 
ladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...

I hated boarding school. nilisoamea boarding school ya ma sista in primary and it was horrible. after that no more... kwa hiyo mim i enjoy story za watu walio somea boarding school, lakini for me sina laku sema...labda if you all want to know about being a day scholar?!!...yaani kwenda shule asubuhi na kurudi nyumbani jioni.
It was equally tough...kujibishana na ma working class kila kukicha...kujibishana na other school kids ...michongoano... beaucoup stress!

At this point naona nyie wa ma boarding schools, you had some worthwhile experiences and fun?!! au
 
Wa seminari mpo? Wale wenzangu mafratera mwenzenu niliinjoi sana semirani.Siku za mwanzoni nilipata shida ya kuamka kusali na kuishi kitume hasa nilipata shida kila nikipata barua za masela wangu wakiwa wanabembea na totozi mbali mbali wakati mimi nakula bible masaa 24

Raha ilianza na nilitamani nisimalize shule sista Elimelinda aliponizimikia kazi za shambani nikawa sipangiwi wakiwa shambani ananiambia nikafute madirisha kwake basi huko huko kifuatacho ITV……hata nilipomaliza nilikuwa namega kisela,siwezi kumsahau alisaidia sana semirani.
 
ladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...
Nasikia kwenye shule za mashori ka mtindo ka ubrenda mlikafanya sana eeh? tupe experiences zenu
 
ladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...

Kwa wale tuliosoma Tabora Girls mnakumbuka mambo ya WARSAW NA BERLIN
tukitoka disco pale milambo wanaume tukiwa tunarudi tunawakuta wavulana wa TABORA BOYS ndo wanakula ugali wa usiku tunawazomea haoooo tumetoka kwa shemeji zenu basi usiku wanavaa kininja wanakuja Girls na fimbo na kutuchapa vibaya mno..............
 
Wa seminari mpo? Wale wenzangu mafratera mwenzenu niliinjoi sana semirani.Siku za mwanzoni nilipata shida ya kuamka kusali na kuishi kitume hasa nilipata shida kila nikipata barua za masela wangu wakiwa wanabembea na totozi mbali mbali wakati mimi nakula bible masaa 24

Raha ilianza na nilitamani nisimalize shule sista Elimelinda aliponizimikia kazi za shambani nikawa sipangiwi wakiwa shambani ananiambia nikafute madirisha kwake basi huko huko kifuatacho ITV……hata nilipomaliza nilikuwa namega kisela,siwezi kumsahau alisaidia sana semirani.

Duh,Yoyo kumbe wewe.....Mh!
 
haswaaa.. tena watoto wa form one badala ya kuwaonea kama wanaume walioelezea kuwatesa njuka ...unawalea kama mdogo wako u mwanao!

Kusoma cookery ilikuwa dili, mapochopocho kibao siku ya practical na kukiwa na wageni mnaenda kupika mamisosi. Basi unafungasha na kwenda kuwagawia ndugu zako. Kwa vile ukimpa anaweza kukataa, unavizia hayupo unamwekea kwenye locker lake au popote pale al muradi mzigo aupate!

Nilipokuwa form 1, mama yangu wa shule alikuwa akinifanyia kila kitu, kutandika kitanda, kunifulia, kuninyooshea na kunitafutia maji ya chai. Ilikuwa raha sana. Namkumbuka na kumuheshimu hadi leo.
 
Back
Top Bottom