Crap button

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
nimefikiria nikaona kuwa ni vema MODS waweke button ya crap kama ilivyo button ya thanks ili mtu akitoa mawazo ambayo hayana msingi au alikuwa na nia tu ya kuchangia ili aonekane nae kaongea basi agongewe crap kwa wingi. Hii pengine itasaidia kuonyesha busara na kuficha upumbavu wetu, pia kuleta mada/kuchangia mawazo ya msingi na yenye kuelimisha,kuburudisha badala ya yale yenye kukera na kuondoa mood za watu...yani napendekeza iwe hivi,

Join Date:
Location:
Posts: 1093
Thanks: 793
Thanked 402 Times in 190 Posts
Crap: 417
Rep Power: 40
 
Its like asking facebook to have a dislike option, however under freedom of speech and expression, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake, sasa ukiyaona Crap unayapotezea ukiona ya muhimu unashukuru
 
Its like asking facebook to have a dislike option, however under freedom of speech and expression, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake, sasa ukiyaona Crap unayapotezea ukiona ya muhimu unashukuru

Habari ya siku Mhandisi Nsi-yande?
 
Back
Top Bottom