Crank box - jenereta ndogo isiyotumia mafuta ya taa, betri wala umeme wa jua

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Habari yenu wanajamii,
Roll Up Banners.JPG

Napenda kuwaataarifu uwepo wa jenereta ndogo iitwayo Crank Box.
Inafanya kazi(Operate) kwa teknolojia ya kuzungusha (Winding technology).
Ukizungusha kwa muda wa dk 1 Crank Box ina uwezo wa kuwasha taa 3 za aina ya LED kwa mtiririko ufuatao.

1. Masaa 2 na zaidi kwa taa 1
2. Saa 1.30 kwa taa 2
3. Saa moja kwa taa 3

Faida zake ni nyingi tu!!
1. Haitumii mafuta ya taa/petroli/diesel
2. Haitumii betri
3. Haitumii umeme wa jua/tanesco
4. Ni nzuri kwa utunzaji wa mazingira
5. Haina gharama za matumizi &
6. Ni ndogo na inabebeka
7. Tegemeo la maisha ni zaidi ya miaka 10
8. Dhamana ya mwaka 1

Matumizi. Crank Box inaweza kutumika:-
1. Mashuleni kwa kusomea
2. Makambini
3. Nyumba za vijijini &
4. Safarini.

Zaidi ya yote, inauzwa TZS 15,000/= tu!! Faidika na bei hii ya Promosheni.
Mwisho wa promosheni ni tar 30.11.2010.
Bidhaa ni chache sana, weka order yako mapema
PIA TUNATAFUTA MAWAKA NCHINI KOTE. KWA ANAYETAKA TUWASILIANE!!

Wasiliana nasi - 0715 997688/ 0785 997688
Au tutembelee Mbezi Beach - Samaki wabichi
Karibia na Hoteli ya Gates of Paradise.

TANZANIA HOME POWER SYSTEMS
Karibuni sana, Mteja kwetu ni mfalme!!!
 
Back
Top Bottom