CPWAA anatumia mkorogo??? Umaurufu wa Bongo Bwana

yaaani..mtu asisafiri kidogo akabadilishwa na hali ya hewa ya huko,baasi ishakuwa formula kuwa ni mkorogo...khaa!! Wala hana u-cameroon..ukitaka kuamini mlengeshee girlfriend wako au dada yako uone...

we wa wapi wewe,,, aliyekuambia hawa wenzetu wote hawafanyi kazi nani? Wengine wameoa na bado wanafanyiwa uanglikana....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom