If you think about it nina uhakika kuna mtu anajuta even to entertain the idea of arresting the boys kwa sababu kuna mtu ambaye alifikiria na kupanga kukamatwa kwao. I really would like to know who.. maana kama ana kibendera pembeni ya gari lake basi tuna matatizo.
And what is worse, is the timing. Soon, hata kabla ya vumbi la kichaga halijashuka chini!
Mimi nahisi kilichosababisha ni zile picha za Kiteto. Jambazi mmoja alipoziona tu akakurupuka.
Hawa wakubwa ni lazima wakubali, hii ni tsunami isiyoweza kuzimwa. Usalama wao ni kufanya kazi zao vizuri kwa ajili ya wananchi kama walivyotumwa, basi. Hakuna tena njia nyingine.