Mimi nilidhani Waziri (kama Serikali) na Mahakama ni mihimili miwili tofauti kabisa.
Hii sheria itakuwa imeshapitwa na wakati
Kwa hiyo Waziri kesho akisimama akasema JF ipotee hewani, ndo tunapotea hivyo?
What have we done to stop bad laws in TZ? Tatizo ni kwamba tuna bag la masheria mabovu, lakini tunakuja kuyashtukia wakati wa utekelezaji! Tungetumia nafasi ya kufungiwa magazeti ku-mobilise forces kupambana na hii sheria ikomeshwe mahakamani. Naamini hapa JF kuna jopo la wataalamu wa aina mbalimbali. Vipi kama jopo la wataalamu wetu wangekaa na kuzichambua sheria zote ambazo tunafikiri ni mbovu, then tukaanza kuzipekeka mahakamani. If the likes of Mtikila did why can't we do something too? Tumeshasema sana, pengine tuanze na kutenda! Vingenevyo, tutaandika wee hapa kama tulivyoandika wakati wa Mwanahalisi, zitasha siku 90 gazeti litafunguliwa, na one of us atakuja na thread: 'Kulikoni laingia tena mitaaani...'then...blabla kibao kutoka kwa wachangiaji zitafuata!!
Haya majamaa hayasumbuliwa na makelele yetu. Tuanze kutenda, kidogokidogo hujaza kibaba.
Kama upinzani wenyewe ndio huu na viongozi wenyewe wanaotarajia kutoa tumaini jipya ndio hawa, jee huko tueandako tutafika kweli!?.don't count on people wanaozungumza kweny mitandao na kutoa nadharia mbalimbali na kutoa hasira zao. Kuna njia moja tu nayo ni kumshika ng'ombe mapembe wenyewe.
Chadema wamekuwa wakilalamika sheria mbaya za uchaguzi lakini kwa miaka minne wameendelea kushiriki chaguzi chini ya sheria hizo hizo.
Kitu pekee ambacho hawatakifanya ni kuandamana kuzipanga au kuzikataa kwa civil disobedience. Na nina uhakika hata hiyo sheria mbaya itakapopitishwa watu hawa hawa watashiriki uchaguzi ujao huku wakinung'unika.
Usitarajie kiongozi wa Chadema au CUF ambaye anaweza kuandamana kupinga sheria hizo mbaya ambazo wao wanazijua. Labda bwana mdogo Mnyika; lakini siyo Zitto, Mbowe wala Slaa wanaoweza kufanya hivyo. Ila watakuwa na hoja za kisomi kwanini sheria hizo ni mbovu.
Kama upinzani wenyewe ndio huu na viongozi wenyewe wanaotarajia kutoa tumaini jipya ndio hawa, jee huko tueandako tutafika kweli!?.
Niliona kwenye TV (nadhani ITV) Ijumaa usiku Pinda akiwatetea Kulikoni na kuahidi kuziangalia hizi sheria zenye utata ili haki iwe inatendeka. Ni dhahiri alionyesha kuwa Mkuchika na wasaidizi wake walichukua maamuzi ya pupa na ya hila.
What have we done to stop bad laws in TZ? Tatizo ni kwamba tuna bag la masheria mabovu, lakini tunakuja kuyashtukia wakati wa utekelezaji! Tungetumia nafasi ya kufungiwa magazeti ku-mobilise forces kupambana na hii sheria ikomeshwe mahakamani. Naamini hapa JF kuna jopo la wataalamu wa aina mbalimbali. Vipi kama jopo la wataalamu wetu wangekaa na kuzichambua sheria zote ambazo tunafikiri ni mbovu, then tukaanza kuzipekeka mahakamani. If the likes of Mtikila did why can't we do something too? Tumeshasema sana, pengine tuanze na kutenda! Vingenevyo, tutaandika wee hapa kama tulivyoandika wakati wa Mwanahalisi, zitasha siku 90 gazeti litafunguliwa, na one of us atakuja na thread: 'Kulikoni laingia tena mitaaani...'then...blabla kibao kutoka kwa wachangiaji zitafuata!!
Haya majamaa hayasumbuliwa na makelele yetu. Tuanze kutenda, kidogokidogo hujaza kibaba.
don't count on people wanaozungumza kweny mitandao na kutoa nadharia mbalimbali na kutoa hasira zao. Kuna njia moja tu nayo ni kumshika ng'ombe mapembe wenyewe. Ndio maana wengine tumeamua kwenda zaidi ya kuandika. Wanaotaka kulalamika ubaya wa sheria wanaweza kufanya hivyo lakini hili la kuonesha sheria mbovu limeshafanywa na zipo ripoti za kutosha tu juu ya hili.
Umetoa mfano mzuri wa Mtikila; nashangaa inakuwaje yeye ameweza kufanya mambo haya lakini siyo kina ZItto, Slaa, Mbowe au Chadema?
Chadema wamekuwa wakilalamika sheria mbaya za uchaguzi lakini kwa miaka minne wameendelea kushiriki chaguzi chini ya sheria hizo hizo.
Ndio maana sishangai wakianza kuelezea ubaya wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa au ya uchaguzi na kwanini inatishia vyama vya upinzani. Natabiri wataitisha mikutano ya waandishi wa habari na natabiri bunge watazungumza kwa ukali sana juu ya ubaya wa sheria hizo.