Covering Letter

subash

Member
Dec 30, 2011
75
36
Wana jf habarini za kazi, ninaomba msaada wenu, kuna advert ya kazi nimeisoma, hao wenye kazi ni NGO wanatafuta mhasibu ila pamoja na application letter, cv, vyeti wanataka COVERING LETTER ueleze kwa nini unadhani wewe unafit katika nafasi hiyo?

Naombeni msaada wa kuandika covering letter what content should be mentioned.

naomba kuwasilisha
 
ni barua ya kawaida ila utaonyesha strength ulizonazo tofauti na vyeti ili wakuconside katika hiyo post.Mojawapo ni experience,accomplishments na uwezo wa kutumia accounting packages katika kazi za uhasibu.
 
Cover Letter inatakiwa kuwa na sehemu tatu.......


  • First Paragraph - Why you are writing
  • Middle Paragraphs - What you have to offer
  • Concluding Paragraph - How you will follow-up
 
Cover Letter inatakiwa kuwa na sehemu tatu.......


  • First Paragraph - Why you are writing
  • Middle Paragraphs - What you have to offer
  • Concluding Paragraph - How you will follow-up

safi umemuweka clear, ila ina tofauti gan na application letter?
 
Hiyo ni format ya cover letter kwa kazi yoyote unayoapply sidhani kama kuna mtu anayeandika tofauti.Kuonyesha wewe unafit kwa hiyo kazi inamaana uonyeshe strength zako wazijue na hizo ndizo zitakutofautisha na wengine na strength zenyewe ni kwa kazi uliyoomba.Nakuomba uzingatie niliyokueleza mwanzo kwani hao jamaa hawako interested na format ya barua na vyeti vyako bali uwezo wako.
 
safi umemuweka clear, ila ina tofauti gan na application letter?

ina tofauti coz application letter hutaandika mambo mengi kuhusu wewe, so inaweza hata kuwa mistari 10..ila cover letter utaonyesha mambo mengi....kwanini unatamani kufanya kazi na hiyo kampuni....unaielewaje hiyo kampuni.....elimu yako itanufaishaje kampuni.....kwani nini wakuchague wewe na sio wengine......nk (haya mambo huwezi kuweka kwenye application letter)
 
Nawashukuruni wandugu, nakaa chini nidaraft covering letter as per maelekezo yenu, once again thx a lot all of u.
 
Back
Top Bottom