course zinazotolewa na vyuo vya ushirika ni zipi?

Vinatoa kozi za kijinga jinga tu kama co-operative mgt nk.
 
Tz na East Afica hakuna vyuo vya Ushirika. Kipo chuo kimoja tu Afrika ambacho ni Muccobs na kipo Moshi. Kinatoa kozi mbalimbali kuanzia ngazi ya cheti,Diploma na Degree na Masters.
Kwa kozi zinazohusiana na Mambo ya ushirika ni kama:
1.Microfinance Mgt
2. Diploma in Cooperative Mgt and Accountancy
3. Bachelor of Cooperative Mgt and Accountancy
Na zipo nyingi tu wewe pitia kwenye tovuti yao tu utapata www.muccobs.ac.tz
Na Muccobs haifundishi tu mambo ya ushirika ila inafundisha na mambo mengine ya Biashara na Ujasiriamali.
 
mbona ni mambo ya umasikin maskin 2?cmshaur huyo dogo asome hayo mambo kabisa.
 
Tz na East Afica hakuna vyuo vya Ushirika. Kipo chuo kimoja tu Afrika ambacho ni Muccobs na kipo Moshi. Kinatoa kozi mbalimbali kuanzia ngazi ya cheti,Diploma na Degree na Masters.
Kwa kozi zinazohusiana na Mambo ya ushirika ni kama:
1.Microfinance Mgt
2. Diploma in Cooperative Mgt and Accountancy
3. Bachelor of Cooperative Mgt and Accountancy
Na zipo nyingi tu wewe pitia kwenye tovuti yao tu utapata www.muccobs.ac.tz
Na Muccobs haifundishi tu mambo ya ushirika ila inafundisha na mambo mengine ya Biashara na Ujasiriamali.

thanks mkuu
 
Back
Top Bottom