Couples za JF ni hizi...!

i love u 2 lkn naogopa kutolewa roho hivyo nihurumie mwana wa mwenzio naomba hifadhi ya roho yangu kwako napiga magoti.hujambo lkn.

Thanks mummy wakukutoa roho hapa hayupo kuwa free tu.
Nimefrahi sana kuwa na amani na huru.
 
basi na mm nataka kumchagua wangu,nampenda mpenda,semeni naniiiii?
 
wanajukwaa,
jana kumetundikwa thread moja, hii-hapa, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa kusoma mabandiko yao!!..mfano, (nanukuu):

na wengine weengi walioorodheshwa!

swali: je jf ingelikuwa ni sayari , ni nani na nani hapo wanakubaliana kwa sifa na hadhi zilizobuniwa, kuwa couple?...
paka jimy na shishi.
 
Wanajukwaa,
Jana kumetundikwa thread moja, HII-HAPA, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la Pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa kusoma mabandiko yao!!..mfano, (nanukuu):

na wengine weengi walioorodheshwa!

Swali: Je JF ingelikuwa ni SAYARI , ni nani na nani hapo wanakubaliana KWA SIFA na HADHI zilizobuniwa, kuwa couple?...
Hujanisahauu kweli??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom