The Mockingjay
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 380
- 121
Tuwashauri hata hao ndugu zetu wajifunze kuzaa watoto wachache.
Mimi huwa siwaonei aibu ndugu. How come mimi nizae kwa mpango alafu wao wajekuniharibia budget yangu iliyo tight? Huwa nawaambia watoto ni mizigo ya baba na mama, unless ni yatima.
Wengine huleta watoto wao kuja kusoma mjini na ahadi ya kuwalipia ada za shule. Hao huwa nawakubalia ila nahakikisha wazazi wanatuma hizo ada za watoto wao.
Wakifunga shule huwa nawapa nawanunulia tiketi wakasalimie nyumbani kwao.
Hawa si kwamba ni watoto wa dada zangu au kaka zangu. Yaani ni ndugu wa mbali kweli.
However, ikitokea kama mtoto is bright and trying hard, huwa nawasomesha bure.
Jamani tuache unafiki wa kuogopa kusemwa vibaya. Lazima tuwaelimise ndugu zetu uzazi wa mpango.