Couple's First Fight

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
Someone once told me that:-
"couple's first fight sets tone for all future's arguments"

Je kauli hii ina ukweli? Tujikumbushe kwa kujibu maswali yafuatayo:-

Do u remember ur first fight? What was it about!

Who started it?

How long did it last?

Was there any compromise or someone just gave in?

............

What about the other fights, did they take the same trend?

How much time do they usually take?
 
Duh, nakumbuka kama ilikuwa jana.
Wakati ni zaidi ya miaka 10 iliyopita.

For more details visit my website lol
 
Kwanza mambo ya mahusiano nina muda mrefu niko mbali nayo,sikumbuki hii kitu!
 
Sikumbuki ugomvi wa kwanza maana its been a while ila nakumbuka kwamba zilikua zinaisha vizuri. Hamna kupigana, hamna kutukanana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwanza mambo ya mahusiano nina muda mrefu niko mbali nayo,sikumbuki hii kitu!

Eiyer pls; nini kilikufanya uwe mbali nayo? Come on guys, we can talk about that silly first fight; can't we?
 
Last edited by a moderator:
Sikumbuki ugomvi wa kwanza maana its been a while ila nakumbuka kwamba zilikua zinaisha vizuri. Hamna kupigana, hamna kutukanana.

Good for you, will l be right to conclude kuwa the first one ended well ndio maana zilizofuata hazikuwa na shida!

By the way l also fights are also better ways of knowing each other!
 
By the way l also fights are also better ways of knowing each other!

Ohhhh definately.
Ni rahisi zaidi kujua mtu ni mtu wa aina gani pale anapokua na hasira maana inamuwia ngumu kuficha hisia zake. Kwahiyo kama ni wa ngumi utatolewa ngeu, kama ni mharibifu mtaambulia hasara humo ndani, kama ni mpole atatulia, kama hapendi confrontation atakimbia na kama ni wa matusi utatukanwa mpaka ushangae, kana ni wakuwekana sawa kwa maneno na kiutaratibu badi mtapandishana kizimbani mpaka mfikie muafaka.
 
Misunderstanding na wanawake kutokua waaminifu kwangu!

Eiyer, so l can as well guess that; the fight was too bad that imeacha scars kwenye moyo wako, ndio maana unaona wanawake wote si waaminifu?
 
Last edited by a moderator:
Lizzy l like huyo wa mwisho, tuongee mpaka tufikie muafaka; silly me who doesn't?

By the way my first fight was bad it was caused by mistrust n it become physical; na zilizofuata zote zilikuwa hivyo hivyo hadi tukaachana!
 
Last edited by a moderator:
Ina ka ukweli nahisi
inakupa picha ya mhusika anatatuaje migogoro
ulidumu kwa siku moja.

Na lazima nikumbuke sababu mie ndio nilisababisha.

Ilikuwa sawa ualikwe kwenye pati, uweke haitebo, afu utage juu ya meza pale haitebo.

Sawa, lkn kauli hiyo inaukweli wowote?
 
Funny... kuna ex wangu fulani hatukuwahi gombana tukiwa pamoja na tuliachana kwa kukubaliana kua there is nothing left for us in that relation. Sasa cha kushangaza he started a fight out of nowhere well after we have broken up. Eti kisa: he doesn't like my google status... Nikabaki kumshangaa tu. :eek:hwell:

Back to topic: Nadhani kila fight ina sababu zake, ina mazingira yake na kwa hivo itakua na outcome zake. the fact that one agreed to end the fight even if he didn't agree with his partner, au the fact that you ended the fight with a kiss (or more) bila kutatua shida does not mean that itakua hivo kila siku.
 
mi na wangu kila siku ngumi,halafu mwanamke mwenye asha ngedere,kila jioni karibia jua linazama lazima tuonyeshe show moja ya bure
 
... ila nakumbuka kwamba zilikua zinaisha vizuri. Hamna kupigana, hamna kutukanana.
....Nyie hamkuwai kuwa na ugomvi... Huko ni kutaniana kimapenzi
 
first fight iko western zaidi...
niliwahi kuwa na msichana from Kenya....

basi akawa nanifanyia vituko ili tugombane
naona alikuwa na hamu na 'first fight'...

sasa kila akifanya vituko
mimi niko cool tu.sikasiriki....

siku moja nilimwambia kitu simple tu...alinijibu kwa ukali kuwa hataki
nilikasirika mno nilipandisha nikagombana nae sana..
mwisho nikamwambia basi 'nimeshindwa mimi'
fanya unalotaka...

haaa cha ajabu akaruka mno kwa furaha na mabusu tele
nikamuuliza wewe vipi....
eti 'i cant believe today we had our first fight'
huku napewa mabusu moto moto....duh.....
mimi sikujua haya aisee lol
 
binafsi nipo kwa relation iliyodum kwa zaid ya miaka 7 sasa imetokea kugombana mara nyingi tu mpaka kupasukiana sana ila bila kutupiana makonde, namna ambayo imetufanya tudumu mpaka leo ni kuwa mara baada ya kila mtu kusema lake, hasira huwa zinapngua na then tunaongea tukiwa tumetulia, kila mtu anakubali na kuapologisekwa makosa yake then yanaisha ingawa kuna wakati ili kusolve matatzo lazima mmoja awe chini hata kama hajaridhika, mafahali wawili hawaez kukaa kwenye zz moja
 
hahaha daaa....,aliniudhi kwa kuwa na hisia za kuwa nitakuja kumwacha.kila mara alikuwa akiongelea hili,ikatokea siku hiyo niliyokasirika kweli kweli kwa kauli yake hiyo,alichokifanya sitosahau,alinambia,"mamiiii love you much when u r mad" na other thingz zikafata....nikimaanisha end ilikuwa poa sana.
 
Back
Top Bottom