Hali zenu wakut. Mimi tatizo langu ni modem ya huawei kwenye counter reset. Kila nikijaribu kureset modem ya huw e173 inakataa nimejaribu counter reset aina 2 zote zimegoma. Je kuna counter reset mpya ya huawei mbayo inaweza kureset? Msaada wakuu kwawanaofahamu zaidi.