Could it be??

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa nimekuja naombeni msaada wenu
nina mdogo wangu (kwa shangazi) kijijini ambaye ameolewa na ana watoto wawili sasa wa mwisho ana miaka miwili lakini tangu baada ya kujifungua huyu wa pili MPs zake hazijakuwa regular. Imefikia wakati anableed tu mfululizo kwa miezi sasa ingawaje si sana. Sasa recently anadai ameanza kujisikia kizunguzungu na tumbo kumkata mara moja moja mbaya zaidi kinachonitisha ni kuwa anasema anahisi kama anashindwa kupumua saa nyingine na kuishiwa nguvu hasa sehemu za miguuni.

Naogopa asijekuwa anaishiwa damu kwa over-bleeding yake!

(Nimemwagiza aje mjini ili twende kwa Dr but ningependa angalau niwe na clue ya nini kinaweza kuwa tatizo-Could it be cancer ya kizazi??

Please nisaidieni
 
Back
Top Bottom