Cought on Search Line....!

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Suppose una miaka kama sita ndani ya ndoa, na una watoto pia.....! Mwenzi wako amekuwa na siri kubwa ambayo hajawahi kukushirikisha, nawe pia hujawahi kupata....! It is obvious that people do not put open their past facts...! Ikatokea siku moja ukiwa na mwenzi wako, mnasikiliza kipindi cha "Search Line" kwenye radio...! Then, mkamsikia mtu mmoja akitaja majina yote ya mwenzi wako akimtafuta na kudai kuwa alikuwa mpenzi wake na waliachana takribani miaka sita wakiwa bado wanapendana sana....! Je, utajisikiaje?
 
Sijui,...nikianza ku-create filling ya ntavo jisikia ntakua natengeneza
situation yenyewe,....
Feelings are contagious
Fear is contagious
Gossip is contagious
Sickness is contagious (whether by a feeling,cause you're with a sick person or........)
etc etc.......
 
Infact siombi Mungu hayo yatokee kwani nitajisikia vibaya na kuchangiwa kukosa matumaini kutoka kwake ya upendo wa dhati.
Sitamlaumu sana kuhusu past ila pia sitamwona kama ndo kafanya vema kuwa mkimya.
 
alikua mpenzi wake miaka sita iliyopita, narudia miaka sita iliyopita, imepita katika kipindi cha miaka sita ya sasa yupo nami, kwende ndoa na watoto juu ya nini kujipa presha? inawezekana ex anamtafuta kwa sababu walipotezana hajui mwenzie alishamove on yupo nami, kikubwa ni hisia zake kwangu kwa sasa esp ndani ya hii miaka sita. pili jiulize kwani wewe hukua na mahusiano mengine miaka sita iliyopita? si yalipita, yakaisha ukasettle na huyu?

maisha mafupi jamani msiyacomplicate khaaa!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom