Controversial Masaki plot declared open space

I think, if wananchi will say no, they can stop anything but also they can do as they did in Hanang by the govt repossessing the land and will thereafter give to those called "investors" who they can't even invets in clearing virgin land!!!
 
Basi wanajamvi na "harakati za komputa" wazidi kuwa na nguvu, na wapongezwe, kama ndivyo.

Lakini wakati tunapima ufanisi na tija ya mchango wa JF, ingependeza tujue wana JF walifanya nini katika kuzuia majengo haya yasiendelee. Katika maandamano ya wakazi wa eneo hilo kulikuwa na bango la JF? Au katika pingamizi rasmi lililoletwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanaharakati wa JF wametajwa kama wadau? Au wanaharakati wa JF ndio waliowashtua watu wa makazi hayo kwamba kuna ujenzi unaendelea kinyemela amkeni? Au JF walienda wizara ya Ardhi kushinikia ujenzi usiendelee, ni vipi yani?

Tutaidie, wewe umejuaje wana JF ndio wamesababisha kusimamisha ujenzi huu?

Kalamu(pen) tu ndugu yangu inaweza kuangusha mlima si lazima ubebe bango kama zamani, enzi hizo wakoloni walikuwa wanakuja kwenye nchi zetu kununua watumwa lakini siku hizi wanaweza kukununua wakiwa huko huko kwao nafikiri umenielewa kwa hiyo JF si lazima uione kwenye hizo plot na mabango
 
Halafu watu wapo wanasema JF watu mnapoteza muda na uharakati wa kompyuta! Red Cross imechangiwa zaidi ya milioni 120 kwa harakati hizi hizi.. mnaulizwa mmeifanyia nini nchi yenu?

MM kazi unayofanya ni kubwa sana kwa jamii na mafisadi wengi hawapendi kwani kalamu yako inawaumbua!! Kuna tatizo moja jingine la viwanja pale Jangwani beach; bwana mmoja nadhani alikomba zile hela za EPA amejenga nyumba kwenye CREATED PLOT NO.403 ambayo amediliki kuziba barabara ya mtaa MZIMA!! Barabara iliyozibwa iko kati ya hicho kiwanja Jangwani Beach plot No. 403 na 402. Juhudi za jirani wa pale kutaka huyu bwana afungue hiyo barabara zimegonga mwamba kwani mhusika inasemekana ametembeza VIJISENTI kwa wahusika pale Kinondoni na wizarani!! Tufanyenini ili tuwasaidie wahusika wa eneo hili zuri linalotaka kuharibiwa na walafi wachache?
 
Mwanakijiji if you have time try to dig in all land grab issues. You will end up with a name which is very familiar. Kuna wahindi wengi mikocheni wameporwa viwanja na kuna wananchi wengi wameporwa viwanja hasa vya maeneo ya wazo na hakuna la maana lilolofanyika.

Naona sasa limeanza kuwekwa jamvini kuna siku watu watamwaga kuku kwenye mchele.
Everytime you try to zoom in or moveyour camera a bit left, that name will reappear.

wahindi?tena wasiishiwe kuporwa tu wauwawe kabisa.mbona sisi hatuendi kutaka ardhi kwao India
 
MM kazi unayofanya ni kubwa sana kwa jamii na mafisadi wengi hawapendi kwani kalamu yako inawaumbua!! Kuna tatizo moja jingine la viwanja pale Jangwani beach; bwana mmoja nadhani alikomba zile hela za EPA amejenga nyumba kwenye CREATED PLOT NO.403 ambayo amediliki kuziba barabara ya mtaa MZIMA!! Barabara iliyozibwa iko kati ya hicho kiwanja Jangwani Beach plot No. 403 na 402. Juhudi za jirani wa pale kutaka huyu bwana afungue hiyo barabara zimegonga mwamba kwani mhusika inasemekana ametembeza VIJISENTI kwa wahusika pale Kinondoni na wizarani!! Tufanyenini ili tuwasaidie wahusika wa eneo hili zuri linalotaka kuharibiwa na walafi wachache?

Bulesi.. naomba contact za wahusika na hili tuliangalie.. la maana nataka picha kwanza.. nitumieni kwenye email ya jf..
 
Back
Top Bottom