Contraceptives

But we still need to get another baby later ,vasectomy is not an option
 
Angalia side effects za hizo contraceptives mbali mbali na ile ambayo utakayoiona madhara yake si ya kutisha basi ndiyo nzuri kuijaribu.
 
kama ww mwanamke mie nakushauri utumie natural method ambayo ni calendar. ILa inabidi mume wako aweze kuvumilia siku 8 za hatari. Hii calendar mie naona the best method kama kama utafuata utaratibu wake maana haina madhara yoyote ni ww na mpenzi wako kuelewana siku zipi nzuri na zipi hatari.
 
atatafuta nyumba ndogo straight away.

failure rate ya hii njia yaweza kuwa 30% kwa the least effective method.

nenda nyota ya kijani ujadiliane na wataalam ama muone gynae.
 
atatafuta nyumba ndogo straight away.

failure rate ya hii njia yaweza kuwa 30% kwa the least effective method.

nenda nyota ya kijani ujadiliane na wataalam ama muone gynae.
hata siku 8 tu kwa mwezi huyo mwanaume ashindwe kuvumilia, huyo tena atakuwa mroho.
 
kama ww mwanamke mie nakushauri utumie natural method ambayo ni calendar
Hii ndio tulikuwa tunatumia kabla ya kupata mtoto ,lakini sasa hivi nanyonyesha na sipati siku zangu ndo maana NFP kama CALENDA,kuchunguza joto la mwili na ute zinakuwa options gumu .kitu hatari hapa siwezi kujiamini ati kwa vile sioni siku zangu basi ni contraceptive tosha maana nilipata siku zangu once halafu zikatoweka ,ninajua next ovolution itatokea kabla sijaona siku zangu.Hii ina maana nikitegemee kunyonyesha tu kama kinga ya mimba the next thing I will realise is pregnanancy again!!!!!!!.No jamani hatuhitaji mtoto mwingine mapema hivyo na pia tunahitaji kufurahia ndoa yetu .Wanandoa wenzagu nipeni uzoefu wenu katika homonal contraceptive au Kama kuna altenative NFP mnayojua kwa mama anayenyonyesha anayoweza kutumia ikiwa hapati siku zake .

Hii ni challenge kwetu tusaidieni tafadhali
 
Kama kila contraceptive unaifahamu na unasababu ya kutotumia, basi ishi bila kutumia any
 
Kama kila contraceptive unaifahamu na unasababu ya kutotumia, basi ishi bila kutumia any
Naamini hapa wapo wanaofahamu zaidi na wenye uzoefu katika anga hii kuliko mimi ,ndo maana nauliza hapa!! nadhani kuishi bila any ni Dunia ya kufikirika zaidi
 
Family planning method ni ile mtakayokubaliana na mme/mke baada ya kupata habari ya family planning zote zilizopo in terms of side effects, price, usability, comfortability etc. To me the best is one that is comfortable, usable, no or least side effects. So kwa hii tread labda tungejadili family planning methods na athari na comfortability zake then uchague moja au mbili. To me and my wife we use calendar and we are just fine. Previously we had a lot of worries as well. Failure rate of this natural method will depend on your ? negligence control.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom