Contakct za wanaouza magari yaliyotumia Uarabuni

Njele

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
275
121
Naomba wanaofahamu contact za wauza magari ya kijapani yaliyotumika huko Uarabuni, maana gharama ya kununua Japan gharama za usafirishaji ni juu mno. Ningependa kwenda mwenyewe kuchagua na kufanya shipping nitakapounganisha na safari nyingine za nje kikazi.

Magari ninayofikiria ni kati ya yafuatayo:
HondaCVR
Suzuki Vitaa
Ziwe CC. 1800 - 2000, zinazotumia Petrol

Jamii forums ni kiboko najua wadau watanisaidia sana kupata kausafiri. Thanks
 
magari ya dubai ni 3 in one !

LAT nashukuru kwa maoni yako, nategemea utanisaidia kupata uffanuzi zaidi, maana nimeona Japan gharama za usafirishaji ni karibu nusu ya gharama ya kununulia gari lenyewe. Sasa tatizo langu sijui bado mitandao ya wauza magari ya hujo Dubai.
 
Back
Top Bottom