Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.
We Mwiba wewe!!! inamaana uwezo wako wa kufikiria ndo umeishia hapo tu. Kweli we ni Bogasi!!:angry:
 
inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea mbagala hadi gongo la mboto ni ususi wa chadema,ieleweke tu chama hiki kimeikalia vibaya sana tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa cdm waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa taifa hili la tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa cdm,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.
nonesense
 
Mkuu kumbuka kuna watu wamekufa,wameumia na wamefiwa, tumia akili kidogo, kuwaza kidogo, ili usionekane mpumbavu sana, chadema wamesema kama chama, hata mimi nataka waseme kupelekea tuandamane! ninapopost hapa watoto wengi sana wamepotea huko g/mboto, acha ubongo wako angalau uupe nafasi wakati huu uwaze kama binadamu wa kawaida

kwa mila zetu ni kuwa watu kama wewe ambao huwa wanatokea kusema vitu vya ajabu nyakati hizi huwa tunahisi aidha umefanya forbidden act kama kulala na mama yako mzazi, wanyama, au umezaliwa na wazee mataahira au kukulia kwenye vituo vya wagonjwa wa akili!

hata kama utalibisha hili utakuwa kwenye wakati mzuri wa ku-confirm my suspicion; however, it is not true that you are real man at this time! kama unaandika hii post ukiwa nje, then please usimalize fedha ya taifa kutibu vichaa nje ya nchi (maana unawezekana ni mtoto wa waziri fulani wa CCM na umeathirika wa madawa ya kulevya) kazi sana wakati tuna hospitali zetu nzuri tu za mirembe where you can get relief so quick na ukakubalika kwenye jamii ya kitanzania!

suio kila kitu utumbo tu,
Well said mkuu Waberoya. Huu ni msiba mkubwa maana bado watu wengi hawajajua wamepoteza ndugu zao wangapi na kwa maumivu kiasi gani. Halafu watu mabwege wanakuja na theory za kijingajinga,inatia hasira sana kiasi kwamba hata watu makini inawabidi watumie lugha chafu dhidi yake.
 
Hadi tutakapo jenga uwezo wa kuwakabili wakuu wa nchi bila kulegea na ujasiri ....mambo ya kizembe yataliandama taifa...na matokeo ndio hayo...conspiracy no conspircy ..we need CHARACTER AND NOBILITY TO CONFRONT SQUARLY..WHAT IS ERROR AND NONSENSE!!!
 
serikali yote intakiwa kujihuzuru maramoja
tumewachoka sana
kwanza wanakawia tu
mimi nafikiri kuna mkono wa mtu ama watu ktk hili, pengine ni lengo la kushinikiza jambo fulani au kutishia kwa ajili ya kukamilishan matakwa fulani,.actually am yet to find the answer kwani hili suala nimeona nilifuatilie kwa karibu zaidi then nitawahabarisha. But definitely, something is cooking up!! The question is, tumwajibishe nani kwa madhara haya??
 
wewe si ajabu ukawa na mtindio wa ubongo:clap2:
Hili CDM wanaliweza,hiki chama sio cha siasa tena ,halafu jambo hilo linawezekana kabisa ,nafikiri kutokana na maandamano wanayoyatarisha kuiondoa CCM madarakani itakuwa ndio wameanza vita vya chini chini ,kuharibu na kubomoa pamoja na kuyaangamiza maghala ya silaha ,ili watakapohakikisha kuwa wamelipua silaha zote waanze kuingia mabarabarani ,na kuiondoa CCM kirahisi,huwezi kujua.
 
wewe ni mtu mbaya kama ukoma na unahitaji kuepukwa sana kama ukoma.
Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.
 
Wanakuja na sababu mara eti joto, eti umeme..hivi kama ni Joto huko middle east hakuna Mabomu? si kila siku tungesikia mabomu kulipuka hapo Sudani tu kitu kinakwenda mpaka degree 50......
 
Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

jeykey ameajiri ''vijana wake'' KAMA HUYU BWANA...
 
Absolutely.... Positively... CRAP!!!!
 
Mwamunyange alikuwa mnadhimu mkuu wa majeshi kipindi cha Mkapa kwahiyo Mkapa nae alikuwa na uswahiba nae huyu bwana?

He was the second to Gen Waitara therefore he automatically qualified for the post.

Acheni fitina na majungu!!!!
 
sasa naona kweli watanzania tumekomaa lakini nasikitika kwasababu tunakomaa miili tuu, hapa pana jambo jamani bado hatulioni tuu??
 
Jile79,
Kuwa makini unapotoa matamshi...Kuna waislamu wangapi TZ?
Sitaki kuonekana nawatetea hapa waliofurahia uovu uliofanyika, lakini hii yako ni over/overgeneralisation.

Lakini walioua Arusha walikuwa pia hao uliowataja kuwa walifurahi?
Tuepuke kuchochea aina hii ya stereo type, chuki ..itatufikisha pabaya kama taifa...mifano iko wazi kwa mwenye macho kuona na kwa mwenye akili kutafakari.

Ulivyoiandika hiyo Waislamu bila ya kui-qualify inaacha utata na hivyo hiyo stereotyping!

akushndae kwa kuzungumza,mshnde kwa kunyamaza,achana nae!ndo upeo wake ulikofikia,mim m2 akizungumzia dini o kabila,namdharau tu!
 
Tanzania today is a lawlessness place. We have developed a habit of negligence. We don't like to obey laws set by ourselves through members of parliament or follow rules and regulations on how certain things should be done. We do things the way we like. I can bet that what set off those bombs was negligence.

Until such time when Tanzanians learn to do things the way they are supposed to be done we will see more calamities, not in only in the form of bombs. We need to live by following laws, rules and regulations. No one should be above the law. Drive in Dar and you will see how chaotic it is. Motorists do not follow any of the known traffic laws - they overtake on the right and on the left. If you drive upcountry Traffic Police will only stop you and ask for a bribe or ask you to pay a fine if you are an ordinary citizen. Government vehicles, army vehicles, those owned by members of parliament, etc. are exempted!!!! That is the fallacy of our laws in Tanzania. Laws, rules and regulations are for the downtrodden only.

We must blame our leaders. Past and presnet for the problems we are experiencing. Their laissez-faire attitude is costing our country. slowly it is becoming a country most of us would not like to live in. We would like to go and live in other countries where people live in a civilized manner. Let us save this country and make it a nice place to live in.

Thanks comrade, you are very right.
These charecteristics (bolded red) represent a typical situation where THERE ARE NO LEADERS!. In any society without leaders there will be such characteristics. We have figures on the higher level but there is a lack of the real LEADERSHIP, and as a result anybody does whatever he/she wishes (bolded underlined red). Negative effects of this situation are felt greatly by those at the lowest level, the majority, the poor,,,,, According to the accepted norms (Laws and Regulations) of that society, a true leader sets a good example, a good leader not only says what he means and means what he says, he/she also does what he/she says and means, he/she lives the accepted norms.
We used to have leaders, may be they were not perfect but they were surely leaders, there was order in the society, and the country was respected globally. Blaming the top figures (bolded blue) will have good results only if they will feel it, and since they are not leaders, ,,,,,,,

LEADERSHIP IS A MISSING LINK!!!
 
Too much uzembe, Kama hayo mabomu yamepitwa na wakati kwanini yasingeharibiwa?
Tumeshindwa kujifunza kutokana na tukio la mbagala, wakati ule wahusika waligoma kujiuzulu, sasa hivi yawapasa kujiuzulu.
 
There is my friend, see...

..How do you dispose some old, rusty, Russian (Chinese? Cuban?) explosives with limited funding?

..You neighbors wants you to move, and you don't want to move from town. Good thing you've got... what call them? Bombs...

Conspiracy? Hell yeah!

I am PROUD to be Tanzanian
 
Back
Top Bottom