consider replacing your battery

Tekenya

Member
May 24, 2011
67
9
Ndugu wana jamii forum katika safu hii, naomben msaada, laptop yangu aina ya toshiba inaonyesha alama ya x ya rangi nyekundu kwenye screen ya baterry highlight. ma yanatoka maandishi yalio kwenye heading."consider replacing your battery" nifanyeje wapendwa wakati ina uwezo wa kukaa na charg zaid ya lisaa na nusu unplag charge?
 
Hayo maelezo''consider replacing your battery''yanatosha kujieleza,tafuta battery mpya,hiyo imezidiwa haifai tena!
 
Back
Top Bottom