Connect ur mouth with high praise

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,049
Yawezekana mdomo wako una matusi kuanzia jumatatu mpaka jumamosi yawezekana unatoa lugha chafu ama mbofu mbofu jumatatu mpaka jumamosi na jumapili kutegemea kumsifu mungu kwa shangwe pole sana ...ndio maana waakati wa nyimbo unaimba kama uko bar....leo hii usiku wa leo connect ur mouth with high praise mtukuze mungu mwmbe mungu kinywachako kiteme sifa za mungu siku zote amen
mungu akubariki jumapili njema
 
Back
Top Bottom