Congress tells Obama to sanction Tanzania and Tuvalu for helping Iran

Unajua Watanzania wengi sana wanafikiri Americans are innocent yaani wao wanaonewa sana wakati kuna vitabu na documentary zinaonyesha ushenzi wao.Mshikaji ukivisoma au kuoona mipango wanayoifanya nyuma ya pazia Tuuuu!. ndio maana wanampiga vita kubwa Asange wa wikileaks..
Ujinga sio wa kusoma tu kuna Ujinga hata wa kuelewa hali halisi (exposure).. kama hujawahi kumuona Simba machoni basi una ujinga fulani japokuwa umesoma mambo mengi kuhusu Simba, hi ndio reality. Ebu jaribu kupata nakala ya kitabu japo kimoja (Rodney Stich) toka hivi hapa chini ya ukurasa huu:- Bofya

Mkuu wangu Mkandara, nimeipenda hii...

America's Blissfully Happy Victims​
monkeys%20three%20see%20hear%20speak.jpg

 
Last edited by a moderator:
List of Documentary Books
On Endemic Corruption in the United States

Unfriendly%20Skies%202%20LR.jpg
Crimes%20of%20FBI-DOJ,%20Mob%20Cover%20front%202%20LR.jpg
America%20Housing%20Financial%20frauds%20FRONT%20200.jpg

Congress%20frt%202%20LR.jpg
iraq_front%202%20w%20LR.jpg
lawyers_judges_2_100.jpg

Explosive%20Secrets%20Black%202%20LR.jpg
terrorism_against_america_2_100.jpg
Defraud%20Vol%20One%202%20LR.jpg

Drugging%20America%202%20HR.jpg
FBI%20frt%202%20LR.jpg
Drugging%20America%20FRONT200.jpg

Blowbacl%20911%202%20LR.jpg
david_goliath_2_100.jpg
subverting_america_2_100.jpg

iraq_front%202%20w%20LR.jpg
Those%20Ugly%20Americans%20Black%202%20LR.jpg
Explosive%20Secrets%20Black%202%20LR.jpg


Hivyo vitabu vya expose hata mie nina kabati zima hapa, kuanzia vya Bob Woodward, Joe Stiglitz mpaka Noam Chomsky na wengine.

Watanzania aliowasema Mkandara wako wapi hapo?

Huyu Mkandara kasema "unajua kuna Watanzania wengi sana wanafikiri Americans are innocent"

Sasa mimi nina ji disassociate na hao wanaosema kwamba the Americans are innocent.

Nikaomba Mkandara awataje isije kufikirika kwamba kwa sababu Kiranga anashambulia utapeli wa serikali ya Tanzania, basi na yeye anasema the Americans are innocent.

Wamarekani kutokuwa innocent si sababu ya sisi kuwa matapeli kijinga jinga get it?

Two wrongs do not make a right.

You are damn right the Americans are not innocent.

Lakini anachofanya Mkandara hapa, ni kama mtu kashikwa akiiba halafu anasema "unajua nyie mnafikiri jirani zetu wote hawa si wezi, yule pale naye mwizi"

That is beside the point.

Wewe umeshikwa umesajili meli za watu kinyemela, deal with your issue.

Hizo habari za Marekani kuwa si innocent ongeeni na wabunge wenu na nyie muwawekee vikwazo Wamarekani, au muende mpaka UN, hamjakatazwa.

Don't take my statement kwamba "nani kasema the Americans are innocent" kumaanisha kwamba natetea kitu chochote cha Wamarekani.

Lakini hii habari nzima ya Americans are innocent or not is a distraction from the fact kwamba serikali ya bongo ime boogie step kuruhusu bendera yake kutumika bila serikali kujua.
 
Mkuu Ritz amka utafakari japo kidogo. Bila vikwazo Iran hawahitaji bendera ya taifa lolote kwenye meli zao. Ni rahisi hivyo. Hivyo kusema kuwa mkasa umeanza baada ya Iran kuwekewa vikwazo ni uongo. Hata ingekuwa hivyo, kwa nchi yenye inteligencia na kuabarishwa ilibidi kuondosha bendera yetu kwa kujua kuwa kuwa kuwekewa vikwazo uhalali wa kufanya biashara ya namna hii ulikwisha. Hakuna sababu ya msingi ya Iran kutukana bendera yetu bali tamaa upofu ufisi ujuha na upuuzi wa watawala wetu wasio makini.
 
Mkuu Ritz amka utafakari japo kidogo. Bila vikwazo Iran hawahitaji bendera ya taifa lolote kwenye meli zao. Ni rahisi hivyo. Hivyo kusema kuwa mkasa umeanza baada ya Iran kuwekewa vikwazo ni uongo. Hata ingekuwa hivyo, kwa nchi yenye inteligencia na kuabarishwa ilibidi kuondosha bendera yetu kwa kujua kuwa kuwa kuwekewa vikwazo uhalali wa kufanya biashara ya namna hii ulikwisha. Hakuna sababu ya msingi ya Iran kutukana bendera yetu bali tamaa upofu ufisi ujuha na upuuzi wa watawala wetu wasio makini.

Mkuu, ebu tuambie ni lini Iran kawekewa vikwazo na Tanzania lini wameanza kutumia bendera za Iran?
 
Kwahiyo kuzuiwa kwa hizo Meli za Irani ndio Kunafuatia kufa kwa Vituo vya Lake Oil Riz1 Upo? Shindana na US tuone ubabe wako sio Kuwasumbua Simba SC.
 
Hapana,

Iran wamewekewa vikwazo na UN. Na sisi ni wanachama wa UN. Hatukuwa waungwana kuruhusu jina la nchi yetu kutumika kukwepa vikwazo vya UN.

Tumekuwa waungwana kugundua hilo mara moja, kukiri makosa na kuanza mchakato wa kuondoa meli hizi katika usajili wa nchi yetu.

Angalia United Nations Security Council Resolution 1929

Tanzania ilipitisha azimio hili.

Kiranga,
Unataka kutuambia wanachama wote wa UN hawaruhusiwi kununua mafuta Iran...sasa inakuwaje yanatajwa mataifa 12.
 
Last edited by a moderator:
wABUNGE WA MAREKANI WAMEPENDEKEZA usa KUIWEKEA VIKWAZO TANZANIA KWA KILE KINACHISEMWA KUISAIDIA IRANI.

MARA KADHAA IRAN MELI ZA IRANI IMEONEKANA KUTUMIA BENDERA YA TANZANIA KITU KINACHOFANYA ciaa YA MAREKANI KUPOTEZA UMAKINI MAANA WANASHINDWA KUELEWA NI IRAN AU TANZANIA

Mpaka sasa haijajulikana ni vikwazo gani TZ itawekewa, lakini WAKITUWEKEA VIKWAZO VYA KIUCHUMI TUTAFIKA KWELI WA BONGO?AU NDI TZ ATAKUWA KAMA ZIMBABWE. kwenda kununua chumvi tu dukani inabidi uende na kikapu kimajaa pesa.
 
Kwa nijuavyo msimamo wa JK ni kwamba Marekani wanawaonea wa Iran. Aliwahi sema kwenye hotuba moja mwaka huu kwa lugha ya kejeli kwamba eti wa Iran wanataka kuzalisha umeme wanazuiliwa wakihisiwa wanataka kutengeneza bomb la nuclear.

Support ya ku-Reflag meli za mafuta za Iran ina baraka zoote za JK na ndio maana yuko kimya haongei. Badala ya Rais kushabikia Iran kwa sababu tu ni nchi ya Kiislamu naomba aangalie upande mwingine wa shilingi ambao unahusu madhara watakayopata waTZ wa dini zote kama US itaamua kutuwekea Vikwazo vyovyote.

Namsihi ushabiki wa kidini usimpofushe akajikuta anawatoa sadaka waTZ huku yeye na familia yake wakiendelea na maisha matamu sehemu nyingine bila usumbufu.
Kuna wakati kulikwa na ndoto za kuzalisha umeme wa Nuclear TZ tena ilitamkwa na huyo huyo. Sasa isije kuwa ilikuwa ndiyo katika mwendo huu? did anyone also hear of Iranian scientists visiting TZ sometime back? Hatuna ubavu huo wa kujiingiza kwenye mambo sensitive namna hiyo na kuwaficha wajanja. Tunashindwa kulinda madini yetu, twiga nk. halafu tunataka kuleta ukorofi duniani?? Huku tunatgemea bajeti yetu kuchangiwa kwa asilimia zaidi ya 40 kila mwaka na hao hao?? Aghrrrrrrrrr!
 
Hapo JK atapatashida maana kazoe kwenda kupunga upepo nje mambo yanapomchanganya hapa, sasa akiwekewa sanctions hataweza kusafiri tena! Cha moto tutakiona/pata
 
Hapo JK atapatashida maana kazoe kwenda kupunga upepo nje mambo yanapomchanganya hapa, sasa akiwekewa sanctions hataweza kusafiri tena! Cha moto tutakiona/pata


Msiogope saana, sunction ya kwanza marufuku rahisi kusafiri kwenda nchi za dunia ya kwanza aka G 25, cha pili ni marufuku kukopa toka marekani, ya tatu tanzania itajitegemea bajeti kwa 100%, ya nne tanzania itatakiwa kuchimba madini yake yeneyewe bila msaada wetu sisi wamarekani, ya nne lile dili la kigamboni lirejeshwe, kikwazo kingine uranium yote ya tanzania ni ya marekani.
 
Back
Top Bottom