mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,842
- 8,231
Yote hiyo sababu ya Vyote vyangu na Rost tamu,ama kweli ukimchekea ngedere utavuna mabua,halafu Vyote vyangu anataka awe raisi wa Jamhuri ya muungano(kafanya ni haki yake maana uraisi umekuwa uchifu)Twafa kudadadeki