Congress tells Obama to sanction Tanzania and Tuvalu for helping Iran

Kwanini Zanzibar wasijitenge sasa wachukue huu mzigo wa USA na EU sanctions wajue kuwa kwenda Uingereza sasa itakuwa basi tena.

Watawekewa red alert kama vile al-queda, watachunguzwa haswa raha itakuwa hakuna.

Ni kutulia Zanzibar Maringo yote hakuna,Bara lazima muwe na pasipoti na Unajua wabara tena.
 
Halfu utashangaa hakuna filling station iliyo na chapel kwa wateja wa kikistu, what a descrimination.kuwepo msikiti ni sharti la iran

Sasa Mnaona Filling Stations zina Msikiti na Wakristo Mnanyamaza? Waislamu kitu kidogo wanarusha sauti hadi mate

Yanaruka Mdomoni... Kwanini Msiulize? Kwanini Mnaacha kama nchi ni ya Upande Mmoja? Hiyo sio haki hata kidogo
 
what the hell is tuvalu anyway???is this a country on this planet or mars?never heard of it
Hivi ni visiwa vinavyotawaliwa na Muingereza. Hii biashara ya usajili wa meli inafanywa na visiwa vingi tawala za Muingereza au Marekani na ikitokea nchi kama Zanzibar au Tanzania kuingilia misheni zao utawaona Marekani na UK wakipiga kelele.

Ni Marekani na UK wanaofungua hizi benki za visiwani ambazo haziulizi masuali, halafu wanavipa Uhalali wa kutofungamana na sheria za kimataifa wakati ni uwekezaji wao. Nakumbuka zamani miaka ya 60 na 70, Liberia ikiwa chini ya Marekani ilikuwa ikiongoza kwa kusajili meli.They want to control everything kiasi kwamba sasa hivi wameingia hadi Swiss bank wanazi control.
 
Naombea 'Dhaifu' akitia tena mguu kwa Obama, waandishi wa habari huko wambane kisawasawa kuhusu hii issue...
Akija huku hakuna Mwandishi wa Habari anayemfuata kumuuliza Masuali. Mikutano yake ni ya ndani ndani sio hadharani.

Shida hata kumuona kwenye TV hadi kama unamjua vizuri unasema yule yule kwenye kona na kupotea.

Hakai kimbelembele.
 
Umepatia haswaa kuhusu Marekani na wenzao. Na ni kwa sababu hiyo hiyo Marekani haiwezi kuwa na haraka ya kuiwekea vikwazo Tanzania.

Mambo haya yatamalizwa taratibu bila mikwaruzo. Hivi sasa vibopa wa Marekani wana dau kubwa sana katika rasilimali za Tanzania.

Wana hisa nzito katika makampuni yanayochimba madini na yanayojiandaa kufaidi uranium, gesi na hata mafuta yatakayogunduliwa.

Kwa uzito wa dau hilo, "wataishauri" tu Serikali ya TZ kufuta usajili huo wa meli za Iran,ushauri ambao si TZ wala ZNZ yenye ubavu wa kuubishia.

Mkuu heshima kwako...nadhani umenielewa vizuri hunajua watu wanakurupuka hovyo kujibu kuwa Tanzania wanawekewa vikwazo wanasahau kuwa Marekani na washirika wake kwa sasa Tanzania ndio pepo yao mgodi mkubwa dhahabu wa Tanzania ni Marekani, Ardhi, Mbunga, Marekani, Gesi Mtwara Waingereza, bado makampuni makubwa mabenki yote ni Marekani na washirika wake ndio maana nawambia Watanzania wengi wana ufinyu wa ufahamu wanadhani Marekani yupo kwa ajili ya kusaidia masikini.
 
Being super power sometimes is very exciting! Passing and enforcing laws internationally! It is well known that under normal circumstances one state can not pass laws to have effects on another state! But US does

nchi ikikubali kuwa omba omba ijue imeuza utaifa wake. Tuvumilie tu
 
Mkuu heshima kwako...nadhani umenielewa vizuri hunajua watu wanakurupuka hovyo kujibu kuwa Tanzania wanawekewa vikwazo wanasahau kuwa Marekani na washirika wake kwa sasa Tanzania ndio pepo yao mgodi mkubwa dhahabu wa Tanzania ni Marekani, Ardhi, Mbunga, Marekani, Gesi Mtwara Waingereza, bado makampuni makubwa mabenki yote ni Marekani na washirika wake ndio maana nawambia Watanzania wengi wana ufinyu wa ufahamu wanadhani Marekani yupo kwa ajili ya kusaidia masikini.
Mkuu Ritz haya ni maneno yako au mama watoto amekuta umeacha JF on akaamua kuweka ujumbe?
Kama ni wewe basi ukombozi wa tanganyika hauko mbali.
 
Umepatia haswaa kuhusu Marekani na wenzao. Na ni kwa sababu hiyo hiyo Marekani haiwezi kuwa na haraka ya kuiwekea vikwazo Tanzania.

Mambo haya yatamalizwa taratibu bila mikwaruzo. Hivi sasa vibopa wa marekani wana dau kubwa sana katika rasilimali za Tanzania.

Wana hisa nzito katika makampuni yanayochimba madini na yanayojiandaa kufaidi uranium, gesi na hata mafuta yatakayogunduliwa.

Kwa uzito wa dau hilo, "wataishauri" tu Serikali ya TZ kufuta usajili huo wa meli za Iran,ushauri ambao si TZ wala ZNZ yenye ubavu wa kuubishia.

Tanzania washatangaza wanafuta usajili.

The Tanzanian government, which has also come under fire for reflagging Iranian tankers, announced this weekthat it would de-register 36 Iranian ships that had been reflagged. But Berman said that while Tanzania has made progress, Tuvalu is still ignoring the pressure from the international community.
 
Hakuna kitu hapo, Iran wamewekewa vikwazo coz they don wanna give up their nuclear program.

Kwa hicho kikohozi kidogo cha Marekani unadhani JK atathubutu kuruhusu bendera yetu itumike tena?

Nidhamu imeshafuata mkondo wake na naamini JK atakuwa na adabu kubwaa katika hili
.
 
You don't need to be a rocket scientist to know which is a better side to choose!
Mkuu nadhani huzijui siasa za Marekani na washirika wake wala hujui Iran kawekewa vikwazo gani.

Unajua kama Iran ndio analisha chakula mashariki ya kati, ndio wakulima wakubwa meli zao zinakwenda kila sehemu kupeleka vyakula.

Tanzania ni pepo ya Marekani sijui kama unalijua hilo, kwa akili yenu mnadhani Marekani yupo kwa ajili ya kusaidia masikini.
 
We saw it coming long time ago. Personal greed and grandisement of our own political leaders are to blame for anything sanction against us.

Soon after that we would be expecting high profile resignations at the foot of all these self-inflicted scandals.
 
Hii ndo tabia ya ulafi.. Unataka kula mpaka vicivyoliwa..! Leo tunadhalilishwa hivi kwa ulafi wa kikundi kidogo cha wezi.. Damn..

Sent from Tora Bora..
 
Vikwazo vya Wamarekani haviangalii chama! Cha muhimu ujue unacheza karata zako; na sijui maana yako katika kupinga! Unataka kupinga kama kupinga bila kutumia akili kama punguani huku ukijua madhara yake?
Kumbuka hapa USA wanazungumzia TZ na taasisi zake, na sio cdm; mbona unadumaa kifikra!

humu JF kwa miaka 5 hawa pro- CHADEMA wanaangalia na wataangalia madhaifu ya JK na CCM tu, Meli izame, mpaka wa Malawi, Zanzibar kupeperusha bendera ktk meli za Iran, Zanzibar kuvunja Muungano nk
Tukiwekewa vikwazo hapa kwa ajili ya Zanzibar matusi yatakwenda hapo hapo wao ni kupinga ndio Demokrasia tu.
 
Back
Top Bottom