Mzalendo JR
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,193
- 515
- Thread starter
- #41
Watanzania wengi ni watumwa wa kiakili wanaamini Marekani ndio mwenye mamlaka na hii dunia na mwenye kutoa haki, ukisoma michango ya Watanzania wenzangu kwenye hii thread wengi wapo upande wa Marekani.
Marekani pamoja na mataifa makubwa ni wanyonyaji tu kwenye nchi masikini wanataka adui wao awe adui wetu pia na rafiki yao hata kama ni jambazi lazima tumkubali, Tanzania ana kosa gani kuzisajli meli za Iran nchini Tanzania na kutumia bendera yetu ni kosa sababu Marekani na washirika wake wameiwekea vikwazo Iran kwa sababu ya kurutubisha Uranium.
Mbona Urusi, China, Hong Kong, wamesajili meli za Iran na zinabeba mafuta Marekani imekaa kimya.
We are not among those nations as Japan, China or Hong-Kong. Kumfungia China ni kuua uchumi wa USA indirectly but kwa upande wa Tanzania NI KUWAPUNGUZIA ziara za kuombwa misaada na utalii wa Ikulu kwao.