mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
Obama na Wamarekani wajue kua Zanzibar sio Tanzania. Kwa hiyo wanayofanya zenji haituhusu, kama wanataka kutoa sanctions basi wawape serikali ya Zenji. Sisi watanganyika hatuna kosa lolote.
Watanzania wengi ni watumwa wa kiakili wanaamini Marekani ndio mwenye mamlaka na hii dunia na mwenye kutoa haki, ukisoma michango ya Watanzania wenzangu kwenye hii thread wengi wapo upande wa Marekani.
Marekani pamoja na mataifa makubwa ni wanyonyaji tu kwenye nchi masikini wanataka adui wao awe adui wetu pia na rafiki yao hata kama ni jambazi lazima tumkubali, Tanzania ana kosa gani kuzisajli meli za Iran nchini Tanzania na kutumia bendera yetu ni kosa sababu Marekani na washirika wake wameiwekea vikwazo Iran kwa sababu ya kurutubisha Uranium.
Mbona Urusi, China, Hong Kong, wamesajili meli za Iran na zinabeba mafuta Marekani imekaa kimya.
Hii haina tofauti na ile kesi ya kubaka ambapo wakili wa mtuhumiwa alimuomba hakimu kuwa mteja wake hana hatia bali kiungo kilichotumika kubaka ndio kina hatia na ndicho kinastahili kiadhibiwe. Hakim naye akamjibu hivi; Katika kutoa hukumu nimezingatia hilo hivyo kiungo kilichobaka kitaenda jela miaka 30 hivyo mwenyenacho anahiari ya kukisindikiza endapo atajiskia au kama hapendi atuachie hapa aende zake!Obama na Wamarekani wajue kua Zanzibar sio Tanzania. Kwa hiyo wanayofanya zenji haituhusu, kama wanataka kutoa sanctions basi wawape serikali ya Zenji. Sisi watanganyika hatuna kosa lolote.
What i know USA has permanent interest and not permanet friend so whoever goes against their interest is an enemy! MCC, USAID, MELINDA&BILL GATES FOUNDATION, CLINTON FOUNDATION na mataasisi mengine kibao ya wamarekani yako hapa kutusogeza kimaendeleo na mengine yanatoa ARV kwa waathirika. Tuchague moja kwakuwa habari za Non-Aligned Movement zilishagapita. HAKUNA TENA KWENDA KULA BUTTER KWA OBAMA dah!
Watanzania wengi ni watumwa wa kiakili wanaamini Marekani ndio mwenye mamlaka na hii dunia na mwenye kutoa haki, ukisoma michango ya Watanzania wenzangu kwenye hii thread wengi wapo upande wa Marekani.
Marekani pamoja na mataifa makubwa ni wanyonyaji tu kwenye nchi masikini wanataka adui wao awe adui wetu pia na rafiki yao hata kama ni jambazi lazima tumkubali, Tanzania ana kosa gani kuzisajli meli za Iran nchini Tanzania na kutumia bendera yetu ni kosa sababu Marekani na washirika wake wameiwekea vikwazo Iran kwa sababu ya kurutubisha Uranium.
Mbona Urusi, China, Hong Kong, wamesajili meli za Iran na zinabeba mafuta Marekani imekaa kimya.
Watanzania wengi ni watumwa wa kiakili wanaamini Marekani ndio mwenye mamlaka na hii dunia na mwenye kutoa haki, ukisoma michango ya Watanzania wenzangu kwenye hii thread wengi wapo upande wa Marekani.
Marekani pamoja na mataifa makubwa ni wanyonyaji tu kwenye nchi masikini wanataka adui wao awe adui wetu pia na rafiki yao hata kama ni jambazi lazima tumkubali, Tanzania ana kosa gani kuzisajli meli za Iran nchini Tanzania na kutumia bendera yetu ni kosa sababu Marekani na washirika wake wameiwekea vikwazo Iran kwa sababu ya kurutubisha Uranium.
Mbona Urusi, China, Hong Kong, wamesajili meli za Iran na zinabeba mafuta Marekani imekaa kimya.
Watanzania wengi ni watumwa wa kiakili wanaamini Marekani ndio mwenye mamlaka na hii dunia na mwenye kutoa haki, ukisoma michango ya Watanzania wenzangu kwenye hii thread wengi wapo upande wa Marekani.
Marekani pamoja na mataifa makubwa ni wanyonyaji tu kwenye nchi masikini wanataka adui wao awe adui wetu pia na rafiki yao hata kama ni jambazi lazima tumkubali, Tanzania ana kosa gani kuzisajli meli za Iran nchini Tanzania na kutumia bendera yetu ni kosa sababu Marekani na washirika wake wameiwekea vikwazo Iran kwa sababu ya kurutubisha Uranium.
Mbona Urusi, China, Hong Kong, wamesajili meli za Iran na zinabeba mafuta Marekani imekaa kimya.
Hayo maneno asije akaona Kikwete utafukuzwa kibaruani, kwani ndo muumini wa maisha bila marekani hayawezekani!Watanzania wengi ni watumwa wa kiakili wanaamini Marekani ndio mwenye mamlaka na hii dunia na mwenye kutoa haki, ukisoma michango ya Watanzania wenzangu kwenye hii thread wengi wapo upande wa Marekani.
Marekani pamoja na mataifa makubwa ni wanyonyaji tu kwenye nchi masikini wanataka adui wao awe adui wetu pia na rafiki yao hata kama ni jambazi lazima tumkubali,