QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
Rais JK... nilipokusukiliza asubuhi ya jana redio clouds nilipata tabu sana kufuatilia maongezi yako hasa kutokana na sauti ya uchovu na kigugumizi kishichokwisha... kusema ukweli si kwa nia mbaya lakini nilikua naogopa sana kuangalia TV nikihisi uchovu wa kampeni ungekuweka chini kabisa
Lakini nshukuru umeweza kukaa live kwa masaa mawili na kadri muda ulivyokua ukienda, na confidence yako ilikua inakua... hongera sana
Inagwa mahojianoyalikosa bashasha hasa kutokana na "choreographed" questions plans... bado ulijitahidi sana na kwa hili nasema Jungu kuu halikosi ukoko
Pamoja na kusema yote hayo, bado nina wasiwasi kama kweli umenikonvisi kukupa kura yangu....
Au nina kichwa ngumu?
Now, we do not have a president but Msanii