Elections 2010 Congrats JK.... Umeweza Mdahalo/Mahojiano

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,829
11,204
Rais JK... nilipokusikiliza asubuhi ya jana redio Clouds nilipata tabu sana kufuatilia maongezi yako hasa kutokana na sauti ya uchovu na kigugumizi kishichokwisha... kusema ukweli si kwa nia mbaya lakini nilikuwa naogopa sana kuangalia TV nikihisi uchovu wa kampeni ungekuweka chini kabisa

Lakini nashukuru umeweza kukaa live kwa masaa mawili na kadri muda ulivyokuwa ukienda, na confidence yako ilikua inakua... hongera sana

Inagwa mahojiano yalikosa bashasha hasa kutokana na "choreographed" questions plans... bado ulijitahidi sana na kwa hili nasema Jungu kuu halikosi ukoko

Pamoja na kusema yote hayo, bado nina wasiwasi kama kweli umenikonvisi kukupa kura yangu....

Au nina kichwa ngumu?
 
Rais JK... nilipokusukiliza asubuhi ya jana redio clouds nilipata tabu sana kufuatilia maongezi yako hasa kutokana na sauti ya uchovu na kigugumizi kishichokwisha... kusema ukweli si kwa nia mbaya lakini nilikua naogopa sana kuangalia TV nikihisi uchovu wa kampeni ungekuweka chini kabisa

Lakini nshukuru umeweza kukaa live kwa masaa mawili na kadri muda ulivyokua ukienda, na confidence yako ilikua inakua... hongera sana

Inagwa mahojianoyalikosa bashasha hasa kutokana na "choreographed" questions plans... bado ulijitahidi sana na kwa hili nasema Jungu kuu halikosi ukoko

Pamoja na kusema yote hayo, bado nina wasiwasi kama keli umenikonvisi kukupa kura yangu....

Au nina kichwa ngumu?

Mkuu unajua nimejikuta naanza kumuonea huruma jmaa japo kura yangu simpi na nadhani ndiyo namna ya kumsaidia!
 
Hivi kwa nini hizi question and answer sessions zinaitwa "mdahalo"? What ze fcuk
 
Hivi kwa nini hizi question and answer sessions zinaitwa "mdahalo"? What ze fcuk

Umeona eeh! yaani protecting JK has come with huge price to pay........ I guess hata mashuleni debates zitaanza kuonekana si muhimu!
 
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?
 
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?

Ndiyo maana nimejikuta namuonea huruma ghafla kigugumizi, weak na tabasamu la kulazimisha.
 
Umeona eeh! yaani protecting JK has come with huge price to pay........ I guess hata mashuleni debates zitaanza kuonekana si muhimu!

yaani upuuzi mtupu hasa kwa sisi wapenda ufasaha wa lugha. Eti mdahalo....xxiimmm
 
Ila jamaa namwonea huruma sana kama siyo vyombo vya dola kusaidia hatoki!Waandishi wamenikera kwa njaa zao na unafiki wao wanafikiria udc na ubunge wakuteuliwa hakuna kingine the're useless jnlst.
 
Anatumia muda mrefu sana kujizungusha kwenye swali moja, ila amedhihirisha kuwa sio mweledi, na vision yake kama anayo is completely obscured.JK amepewa two chances, kuprove himself, to everyone's disappointment ameshindwa. Na mdahalo wenyewe wauliza maswali walishapangwa na maswali ya kumjenga ila kashindwa kuyatumia vizuri.Kama ingekuwa ni nchi kama US or UK, his performance kwenye midahalo could have costed him dearly, lakini kwa kuwa ni TZ, anapeta tuu.
 
Funny enough kwenye concluding remarks wala hajaomba kura wala kukiombea chama chake! One might think he didn't care, lakini the fact is ni mtupu kiasi kwamba hata alisahau why he was there!
 
Ule haukuwa mdahalo bana bali ni kipindi cha maswali (awe aliyafahamu tokea awali au la) na majibu
 
kwa kweli duh hata kuponda unashindwa maana kila kitu siyo unabidi kutafuta nzuri kwa kulazimisha mhhh ukiangalia wakina kinana ,Tido kama wako msibani.
 
Funny enough kwenye concluding remarks wala hajaomba kura wala kukiombea chama chake! One might think he didn't care, lakini the fact is ni mtupu kiasi kwamba hata alisahau why he was there!

kwelu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom