Congrats: Hussein Kattanga

Ntambaswala

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
255
78
Moyo wa kujituma
Kupenda kujiendeleza
Kujiamini- makonfu
Networking
Smartness-upstairs

Hivyo ndivyo vimemfanya kijana huyu afike hapo alipofika kuwa Katibu Mkuu Serikali za Mitaa. Ni mfano mzuri kwa vijana wa sasa ambao hawataki kupafomu kwenye kazi zao. Huyu kijana kaanzia mbali toka uhasibu msaidizi hadi kuwa Katibu Mkuu. Nadhani imemchukua karibu miaka 16 kufika hapo alipo.
 
Kuna jukwaa maalum kwa ajili ya pongezi, hamisha hii kitu hapa.
 
Moyo wa kujituma
Kupenda kujiendeleza
Kujiamini- makonfu
Networking
Smartness-upstairs

Hivyo ndivyo vimemfanya kijana huyu afike hapo alipofika kuwa Katibu Mkuu Serikali za Mitaa. Ni mfano mzuri kwa vijana wa sasa ambao hawataki kupafomu kwenye kazi zao. Huyu kijana kaanzia mbali toka uhasibu msaidizi hadi kuwa Katibu Mkuu. Nadhani imemchukua karibu miaka 16 kufika hapo alipo.
Hussein Katanga
 
Akijichanganya na kujiunga kwenye ‘makambi ‘ yana wanasiasa wakongwe sijui sukuma, mamvi, asilia, mkwere etc kwisha habari yake!
 
Wanamapambio na hivi wamesikika kuwa amefanywa Waziri wa fedha wanajua miamala utasoma..
Njaa hizi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom