MUKAMASIMBA, murutongore,
..lakini Rwanda si walishiriki kwenye vikao vilivyoamua UN ipeleke intervention brigade DRC?
..binafsi sina kumbukumbu kama Rwanda walipinga uamuzi huo wa UN.
..zaidi, intervention brigade inahusisha majeshi toka Malawi, South Africa, na Tanzania.
..sasa kwanini nyinyi mnawaandama Tz na SA peke yao, Malawi hamuwataji kabisa??
..M23 hata hawajulikani wanachopigania ni nini haswa. kuna makamanda wa M23 wanatafutwa na ICC. Why would u support such a group??
cc Kishimbe wa Kishimbe

Last edited by a moderator: