MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
tunaanzana naww kwanza,kukupatia kichapo,maana naww nikibaraka wakagame,na dunia imewageuka napropaganda zenu za genocide.
wewe mtoto wa mama utaweza nini,kuongea tu, nenda congo uone jinsi watazania wamejaa hospitali Goma na wengine wengi waliokufa,eti utatoa kichapo? anza kwanza na hao M23 ndio uone kufikiria wengine,kwanini mnapenda vita? ungejua shida wanazo pata watanzania goma usinge thubutu kuropoka maneno kama hayo.