notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 452
Pole sana BAHIMA BOY!! Usichokijua ni kwamba huu mziki ni mkubwa kupita kiasi.AHAHAH,yani kumbe nia yenu ni kuishambulia rwanda? nilifikiri ni M23,kama ni hivyo huo mziki hamta uweza,yani mkijaribu break itakua malawi,halafu ndio mtasikilizana vizuri na joyce banda,msiangalie ukubwa wa nchi mkajidanganya,m23 yenyewe iko inawatoa jasho itakua rwanda?askari wa tz wengi wanafia congo na haitangazwi nyie kukaa kushangilia vifo vya ndugu zenu eti wanataka kutoa pk,kwani pk anatatizo gani na watanzania? nawaonea huruma wanaoshabikia vita.
Kuna kitu hakitangazwi ila ningependa ukijue.....
Kama ilivyokuwa kwa IDI AMIN, Tuliongoza mashambulizi ya kumng'oa tukisaidiwa na maelfu ya askari wa UGANDA, this time tunamuondoa KAGAME tukisaidiwa na maelfu ya wanamgambo wa KIHUTU na askari wa VONGO DRC