confused

na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint

Tafuta namna ya kulizungumza ili kulipatia ufumbuzi. Kuendelea kukaa kimya ni kujitesa mwenyewe na kutokuitendea haki nafsi yako. utaendelea ku-fake mpaka lini? Mwisho wa siku utaolewa halafu utakuwa unatoka nje ya ndoa hovyo hovyo. Kumbuka ukweli utakuweka huru zaidi.
(angalizo: tafuta namna nzuri ya kulieleza hili kwa mpenzio bila kutafsirika vinginevyo)
 
na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint

pole kama kuna style aliyokuwa anakufanyia wa kwanza na unaridhika mwambie my leo tutumie style coz anajua zamani ulikuwa na mpnz hence hawezi kushangaa
 
duuuuh!! kweli hizi ndoa/mahusiano ya siku hizi ni vichekesho!!, unasema unaogopa kumwambia na unamkumbuka ex-bf wako?........,, Inakuwaje mtu ambaye unayempenda kweli ushindwe kumueleza ili ajaribu kufanya vile ambavyo utaridhika ili hata mapenzi yenu baadae yawe matamu?. Kama kumwambia ss hv unaogopa kumdis-appoint, unahisi baada ya kukuoa au mbele ya safari yenu ukimwambia ndo utamfurahisha?. Wewe ni mwanamke mwenye bahati sana kuwa na jamaa ambaye tatizo lake ni rahisi kuelekezana na kushauriana kulimaliza, tatizo wewe mwenyewe pia hujishughulishi kumsaidia mwenzako ambaye inawezekana hajui kuwa huridhiki kutokana na wewe kutomuelekeza nini akufanyie. Kitu kingine nachoona hapa kama vile unawa-alert watu kuwa unataka kuolewa ila baada ya kuolewa unataka kidume kingine pia cha pembeni sababu inaonyesha huwa huridhiki na mwanaume mmoja. Ushauri wangu ni kwamba kaa chini uongee na jamaa wako katika hali ya utulivu ili akuelewe au uwe unamuelekeza unapenda ufanyiwe kitu gani muwapo kwenye mambo yenu, vinginevyo mnapoteza muda tu ni heri kila mmoja achukue 50 zake.
 
NOT all fingers are of same LENGTH,
but
when they are BENT, all stand in EQUAL length.
LIFE becomes easy
when we BEND & ADJUST to certain situations
 
jinamizi gani limeingilia mapenzi ..
Kila kukicha jipya.

Sasa nakushauri mahipsi, fuatilia post za MziziMkavu

alafu nani kakwambia kwamba ukimwacha huyo ndo utampata mfikisha vilele... Afu usikute tatizo ni lako wewe.. Unakaa kama gogo kunako shughuli wategemea nn?
 
Last edited by a moderator:
na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
Kwanza i am in love with your ID Name mahipsi baby .Lol!

Well kuna mambo mawili hapo,

La kwanza, humpendi ki ukweli na ndio maana he doesnt turn you on

La pili, hajaongea au hamko wazi baina yenu kiasi cha kuelezana hisia zenu na nini kifanyike ili kudumisha mapenzi yenu.

Suluhisho; Kama umempendi na uko naye just because of his "potentials" bora muachane sasa maana hata kama mtaoana bado utatoka nje ili kupata hiyo kuridhishwa unakokutaka wewe. Hilo sio jambo jema na utakuwa hutendi haki kwako na kwake pia so its better you end the relationship kabla hajaingia kwenye commitment.

Kama ni kweli unampenda "Unconditional" Then kaeni chini muongee na umwambie kwamba hakufikishi na muangalie namna gani ya kutatua tatizo hilo maana sio watu wote wana ujuzi sawa na uwezo wa kusoma alama za nyakati sawa mpaka waambiwe. So kama kweli wampenda kaa naye na umweleze ili kwa pamoja mtafute namna ya kutatua tatizo hilo. I guess niishie hapo kwa leo.
 
Last edited by a moderator:
Naungana na aliyekushauri kumfuta kwanza yule wa kwanza katika moyo wako ndipo utagundua ni kweli huyu hakutoshelezi au ni kumbukumbu za zamani zinakunyima raha. Lakini sielewi ni kwa vipi huyu unamwita mchumba wakati umezini naye mpaka ukagundua hakuridhishi kimapenzi!!!!!!!! Utakuwa utakuwa kipimo cha wanaume wangapi mpaka upate atakayekuridhisha? Mimi naamini mwanamke ana uwezo wa kumfanya mwanaume amridhishe kimapenzi kama kweli anampenda kiukweli na sio amependa vitu na hasa mali. Mwombe Mungu akupe mume wako acha kujaribu wanaume kwa utamu wa mapenzi ya mwilini wakati moyoni humpendi.
 
hiyo adendo meter ni kipimo cha mapenzi duuuuu mwanangu unafananisha ww noma umesikia thermometer, barometer, n.k kitu ukatunga yako
 
Kwa maelezo haya yaonekana upo tayari kumsaliti kuliko kumwambia ukweli!

Bado haupa huru kwenye hayo mahusiano!

na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
 
umesema anakupenda sana je wewe unampenda.....kama unampenda na upo tayari kuolewa naye tumia mbinu ulizokuwa unatumia ukiwa na x wako ukafurahia na pia kumfanya yeye awezekutumia mbinu hizo hizo
 
hiyo styl mnayo zungumzia ni ipi kiboda boda eti ee au 065........ and 071.....
hizi picture hizi zitatuuwa tusiangalie tutapofoka macho mm kwanza mama kanikataza kutizama
nimeshazoea chali iyo hoo ( j martin )
 
na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint

Usimwambie direct, ni kitu kibaya sana. Fanya hivi;

1. Jaribu kumuonyesha kuwa kuna sehemu katika mwili wako akikugusa unasisimka sana. Mara nyingi wanawake hawaridhishwi na tendo la ndoa tu, ila romance. Kama mwenzi amekuwa mzito kutambua sehemu zinazokusisimua, muonyeshe, mkiwa kwenye mahaba, jaribu kuchukua mikono yake na kumpeleka kule.

2. Kama mwenzi wako ni mtu wa kumaliza haraka na anakuwa mgumu kuanza upya, jaribu mahaba ya styles zitakazompotezea msisimko yeye. Style za mfano apige magoti sakafuni, akiwa anaumia concentration inapungua ingawa anakuwa bado mgumu. Hii itaongeza muda wake. Pia unaweza kumuwekea movie fulani ya kutisha. Huku mnaendelea taratibu. Tumia wasaa huo kujiweka position ya kufanya uenjoy lakini yeye mawazo yake yatibuliwe na movie

Kiujumla unajua sehemu zako mwenyewe zinazokusisimua. Kama unampenda(maana kila mtu si perfect), mshirikishe, muonyeshe. Ukifanya dhambi ya kutoka na ex wako, itakuandama mara zote na hata mkija kuoana na jamaa umpendae, utakuwa unacheat na utajiweka kwenye hatari ya kupata VVU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom