confused

sinyoritah

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
552
346
na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
 
Usimuambie kwamba hakuridhishi utamfanya ajihisi inferior hata hicho kidogo anachojitahidi atashindwa kapsaaa!ww chakufanya mwambie vile unavyopenda ufanyiwe ili uridhike,pengine uwezo upo ila hajui ile ki2 roho inataka!funguka mama!
 
Katika mahusiano ukweli ni moja ya nguzo muhimu, sema naye kama vipi amua vinginevyo.
 
Hakuna mpenzi/mwenza ambaye atakuridhisha katika kila idara kwa 100%, uliachana na huyo unayemkumbuka sasa kwa sababu kuna idara alikuwa hakuridhishi. Ukitaka mwanaume wa kukuridhisha 100% umba wako umuwekee mambo yote unayotaka awenayo, lkn kwa sisi tuliyoumbwa na Mwenyezi Mungu wakukuridhisha 100% hakuna. Ukichelewa atachukuliwa.
 
Zungumza nae ili mpate suluhu mapema vinginevyo ndoa yenu inaweza kuwa ndoana mda mfupi baada ya kuifunga.
 
wewe ndie dreva unakila sababu yakumfanya mwenzi wako akuridhishe wewe ndio unatakiwa uwe mtundu jitahidi kutoa shule nje ya hapo si wanaume wote huwa wanautundu wengine huwa wapowapotu
 
achana nae...ya nini kuwa unapumuliwa na jemba wakati anakupa mateso tuu...uzuri wa ngono nawe upate utamu bibi weee
 
mbona simple mwambie ukwel kuwa ajaribu ku-improve au ndio kusema bado mnaogopana na mpo stage ya kutaka kuoana?
 
Be true to yourself good sex and intimancy is very important .poor rich we have that in common it's a gift from god use it well .get somebody else cause its a sin to lie and do you want to die lonely without appreciate the art of sex and the power remember your body is a temple of God use it well and ask your self those questions:caked:
 
EROOOO....:behindsofa:

utamu wa ngono between "commited couples" huanzia na jinsi unavyomkubali mwenza wako nje ya ktanda, possibly still una old memories in your head on ur ex znazokfanya usimkubali jamaa.......tambua kwamba every body is different and expect ki2 kipya from this new one, ucdhani atakufanyia kama alivyokufanyiaga yuleeee wa zamani, ana chake kipya, kitambue kikumbatie ukifurahie...........KAMA U R SURE THIS IS NOT THE CASE, TEACH HIM
Inasemekana---under normal circumstances,mwanamke ni chanzo cha kutoridhika kwake
 
Yaani jina lako
na thread yako 'full mauzo'

i wonder kama sio makusudi.....

jf is never boring...
yaani rafiki, kitu kilichonivuta kufungua hii thread ni jina la mtoa mada (nilijua kaweka na lipicha la hilo hipsi kwa avatar), hata kabla sijawa na hamu ya kujua kawa confused kivipi, lol!
kama ulivyosema, hapa full mauzo. kaja na gia ya mahipsi baby, then mtu wake hamridhishi, anataka kummwaga, watashikwa wengi hapa! mi simo
 
yaani rafiki, kitu kilichonivuta kufungua hii thread ni jina la mtoa mada, hata kabla sijawa na hamu ya kujua kawa confused kivipi, lol!
kama ulivyosema, hapa full mauzo. kaja na gia ya mahipsi baby, then mtu wake hamridhishi, anataka kummwaga, watashikwa wengi hapa! mi simo

JF kila kukicha ni burudani mpya
watakuja wengine
bado 'wowowo baby'
na 'mnato baby'

Sijui itakuwaje?
kazi kwenu wenye majina mpaka mtu afungue dictionary lol
 
na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
sasa dada mzuri kwani wachumba wanaruhusiwa kushare tendo ulilolitaja hapa?any way mdelete x wako,and start allover again muelekeze mwenzio kwa namna ambayo hatagundua kwamba huwa humfikishi lakini hata hivyo mkiabstain had mtakapopewa leseni itakuwa njema zaid all ze best!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom